Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara.

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428

Hili ni baraza la mawaziri au?
 
Kwani hii Katiba ya CCM ipo Vipi Mndeme si Katibu Mkuu msaidizi wa CCM sasa inakuaje anagombania nafasi ya u CC-ukiwa mtendaji si direct unakiwa mjumbe?
Hili na Mimi limenishangaza... Yaani Katibu Mkuu Msaidizi, anagombea tena NEC....
 
Nakupa siri, usimwambie mtu. Hapo hakuna nobody. Hao ni "umeme gang".


Huyo namba moja mahenda ni tajiri sana wa nguzo za umeme iringa na anayo kampuni yake ya masuala ya umeme na nguzo inaitwa Qwihaya. Hao wengine inasemekana ni watu wa "wazito". Usimwambie mtu lakini.

Ni wale wale tu

Ngoja wafukua mafali na makaburi waje. Ndio utajua hao "nobody" ni watu wazito 😂😂😂

Nikikudanganya niite mbwa nimekaa pale 👉🏿👉👉 😂😆😆😆
Hakunaga no bodies CCM, mwambie tena.
 
Le
Leo kimyaaaa !! kumetulia kama maji mtungini , Si kama wiki iliyopita kwenye matokeo ya uvccm

Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
List ya zanzibar leta nayo tuone
 
Yule kanda ya ziwa magharibi anakubalika anzia kigoma kwa watani zake, usukumani kwa mama yake hadi kagera kwa Baba yake, na ni mseminari mtulivu sana hana papara binafsi hua namuona ni kiongozi alituliza akili na kutumikia wizara nyingi tayari ni mwandamizi na yuko royal kwa viongozi wake wakuu tena sio kuigiza na hana makundi
Hata mimi ninamkubali huyu waziri.
 
Yule kanda ya ziwa magharibi anakubalika anzia kigoma kwa watani zake, usukumani kwa mama yake hadi kagera kwa Baba yake, na ni mseminari mtulivu sana hana papara binafsi hua namuona ni kiongozi alituliza akili na kutumikia wizara nyingi tayari ni mwandamizi na yuko royal kwa viongozi wake wakuu tena sio kuigiza na hana makundi
"Namuona mtu wa UPANDE huu,mnyenyekevu, inteligent, patriotic,calm and visionary atakaefanikisha next stage"!
Tumia akili
 
Wakristo bara ni wengi kuliko waislamu, dominance ya waislamu ni chache mkipiga kura kwa dini wakristo watashinda kila siku
Only ni kwasababu waislamu hawana kawaida ya kupiga kura kidini. Ni wajenzi kamili wa amani na ustarabu kidogo unaouona Tanzania.
 
Sio January na Mwugulu wanautaka Urais tu wao,sio patriotic kabisa hawa wawili hawa.
Hao hamna!hao ni wabwekaji na wafanya KAZI chafu za maboss wao Ili kufanikisha missions fulani hawajaandaliwa kuwa hata jk anawadanganya tu!

Huwezi mweka kipara na madeluu kuwa,hawana sifa hata haiba wanafaa KWA mission town za WAKUBWA tu kama ununuzi wa mtambo mpya wa UMEME KWA mchongo wa mgao!
 
Leo kimyaaaa !! kumetulia kama maji mtungini , Si kama wiki iliyopita kwenye matokeo ya uvccm

Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Tofautisha kupitishwa na kupigiwa kura.
 
Back
Top Bottom