Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
As long kuna Makamba, Nape, Musukuma na Kinana. Nchi itaendelea kuwa sehemu salama bila wasiwasi wowote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂I feel attacked! 😭😭😅😅🤣🤣🤣
Nakupa siri, usimwambie mtu. Hapo hakuna nobody. Hao ni "umeme gang".
Huyo namba moja mahenda ni tajiri sana wa nguzo za umeme iringa na anayo kampuni yake ya masuala ya umeme na nguzo inaitwa Qwihaya. Hao wengine inasemekana ni watu wa "wazito". Usimwambie mtu lakini.
Ni wale wale tu
Ngoja wafukua mafali na makaburi waje. Ndio utajua hao "nobody" ni watu wazito 😂😂😂
Nikikudanganya niite mbwa nimekaa pale 👉🏿👉👉 😂😆😆😆
Labda wa nyumba 10. Wajumbe si watu wazuri naskia walipiga menu kwenye kimkahawa chake halafu wakamnyoaKwani shilole ajapata ujumbe?
Kura za michongo .zimepangwa zikapangikaBashungwa +ukatoliki wake. Nahisi kuna nafasi ya juu zaidi anaandaliwa.
Sema hicho kitu tupone.WANAUME NEC BARA
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
Matokeo yanafikitisha sana. Kuna kitu nakiona kwa jicho la tatu kwenye Siasa za CCM
Yaani hawa jamaa, sawa nawajua, lakini leo waminifikirisha zaidi na kunifanya kuendelea kuzidi kutafuta hela. Wajumbe si watu wazuri kabsaa kwa wasio na hela au cheo.😂😂😂
Huo ndio ukweli. Ccm ipo hivyohivyo miaka na miaka. Narudia tena, ccm ni kwa ajili ya wafuatao
1. Wakubwa
2. Watoto wa wakubwa
3. Watu wenye connection na wakubwa
4. Watu wenye HELA wenye connection na wakubwa.
Zaidi ya hapo pambana na hali yako.
NB: binti kiziwi kama una tako kubwa laini, hebu gawa TAKO kwa mkubwa, uone kama haupati uteuzi au viti maalum 2025 😂😂 au cheo chochote 😂😂😂
Hizo hesabu za wapi?2% ulizobakiza ni za nini?Watatu assuming sio wakristo waliobaki 11 tu assume ni wakristo.Hizo asilimia umehesabu vipi?Wagalatia ni 76% huku wale wengine ni 22%
Mutamwega Mugahiwa BhatiNa sikumbuki mhaya ambaye amegombea urais in my lifetime na nimeshuhudia chaguzi sio pungufu ya 6
Ukipenda kumsaidia chukua makabila makubwa 4Tanganyika yote ni Christian majority.Yaani Tanganyika ni kama Kenya tu.Wakristo ni wengi kuliko waislamu.
Yeye pia ni wa hovyo ila hajawazidi hao niliowataja,ujue chama cha mambuzi kinahitaji uwe hovyo kupitiliza ili uweze kula hovyo hovyo kama mbuzi😀Vunjabei huyu huyu anaevimba insta na kutukana vijana wenzake wasiokua na pesa za kuonga madem kua ni malofa? Au
Hizi kura zinasema jambo moja. Kuna watu wanapoteza relevance. Ni jambo la ajabu kuona akina Makamba wamegaragazwa vibaya sana na ‘no bodies’. Tafsiri yake wakichukua na hao wengine form za Urais hawatoboi top 5
Mmeingizwa mkenge nanyi mkaingia!??Kanda ya ziwa utarukaruka ila utaelewa kuwa ndo kanda yenye nguvu! Si umeona Makamba kapitwa kura mpaka na akina Musukuma na Gwajiama! Ndoto za huyu Bwana mdogo zipo mashakani sana kadri miaka inavyoenda ndo atazidi kuangukia pua!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndio maana Akina aisha jumwa au junet mohamed nao wanatinga kanisani maana hao ndio majority yaani uislamu east africa kiukweli haukuenea sana. Toka ukoloni na sample ni hizo
Yaani mtu anamuona kabisa Kinana karudi kundini halafu anasema no body!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha nobody kwenye chama. Ccm ni chama cha wakubwa, watoto wa wakubwa, wenye connection na wakubwa na watu wenye pesa ambao wana connection na wakubwa.
Zaidi ya hapo, pambana na hali yako.
Watakuelewa basi..Kura za michongo .zimepangwa zikapangika
Una macho mazuri sanaa..William Lukuvi kakwama baada ya miaka 20+ ya kuwa mjumbe.
Kama naona kikao cha genge la wahuni kuelekea mkutano mkuu Lukuvi si anataka uraisi yeye badala ya kulamba asali na kutulia; tumtoe.
Mwenzake mzee Wassira kama Mwigulu anaenda na upepo mtumbwi ukitoboka tu wanakamata mabaya wale twarukia upande mwingine.
Uzalendo wa CCM ni kwa mwenyekiti tu sio nchi.