Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

Hizi kura zinasema jambo moja. Kuna watu wanapoteza relevance. Ni jambo la ajabu kuona akina Makamba wamegaragazwa vibaya sana na β€˜no bodies’. Tafsiri yake wakichukua na hao wengine form za Urais hawatoboi top 5
Kwa hiyo Msukuma na Kasesela ndo wanagain Relevance? Siyo bure mkaitwa Mambuzi🀣
 
Leo kimyaaaa !! kumetulia kama maji mtungini , Si kama wiki iliyopita kwenye matokeo ya uvccm

Waliopitishwa kwenda Halmashauri kuu hawa hapa, Sipati picha ingekuwa ni kinyume

Wanawake
1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770
2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764
3. Christina Solomon Mndeme Kura 761
4. Hellen Makungu Kura 755
5. Fenela A. Mukangara Kura 747
6. Angellah J. Kairuki Kura 730

Wanaume
1. Mahenda Leonard 845
2. Bashungwa Innocent 720
3. Wasira Steven 680
4. Msome Jackson William 591
5. Kasheku Msukuma 587
6. Kasesela Richard 574
7. Wambura Chacha Mwita 545
8. Bashe Hussein 510
9. Nnauye Nape Mosses 508
10. Gwajima Josephat 497
11. January Makamba 452
12. Mwigulu Nchemba 450
13. Macha 435
14. Msengi Ibrahimu 428
 
Udini unaitesa sana Africa..na ndio maana hatuna hata maendeleo...udini, ukabila na unafiki....ni shida sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…