Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Mkuu watu wanaosema hivyo ni wajinga waliotunukiwa elimu.

Kama ambavyo kuna diploma ya pharmacy na ualimu basi ndivyo hivyo kwenye udaktari kuna diploma yake ambayo ndio hiyo clinical medicine
Namna hii mwl wa diploma sio mwl, nacheka sana navyopitia comments za madaktari wasomi
 
Duuh jamaa utakuwa MD sio kwa comment hiyo aisee
Hili jukwaa huru mtu yeyote anaruhusiwa kutoa elimu,kwa manufaa ya sisi wajinga.
Watu wanapaswa waelewe tofauti ya tabibu na datktari.
1.Tabibu/clinician=CA,CO,AMO,MD
2.Daktari/Doctor=MD,PhD
 
Hiyo taaluma ya MBBS isingekuwepo hapa nchini kama ingekua n kitu kimoja
MD na MBSS si taaluma za hapa nchini,ni taaluma kongwe zenye miaka zaidi ya 1000,.........MD/MBSS ni kitu kimoja,kulingana na nchi ama chuo mfano U.S.A baadhi ya vyuo hutoa MBSS vingine MD ial wote husajiliwa kama licensing general practitioner,maana kozi zao zinafanana
 
Hv unajielewa kweli?
 
Kwamba AMO akamfundishe CO? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Katika watu walio andika ujinga JF leo , unashika namba moja

Yani assistant medical officer awe bora kuliko Clinical officer kias cha kumfundisha.. alooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili jukwaa huru mtu yeyote anaruhusiwa kutoa elimu,kwa manufaa ya sisi wajinga.
Watu wanapaswa waelewe tofauti ya tabibu na datktari.
1.Tabibu/clinician=CA,CO,AMO,MD
2.Daktari/Doctor=MD,PhD
Ile screenshot uliiona au nirudie tena? Manake ukipigwa kwenzi la utosi ina assume kama huon kabisa
 
You are fucked up again my friend.......[emoji16][emoji38][emoji205][emoji205],ukienda MSD,NIMR,OSHA etc.......mashirika ya kimataifa kama MDH,W.H.O,etc utawaona MD kibao wanafanya kazi huko tofauti na hizo unzogoogle hapo[emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]............any way CO sio daktari..........
 
Mkuu itakua umesoma zaman sana

Psychiatric CO wanasoma , again big difference kati ya CO na MD ipo kwenye "wanasoma kwa kiwango gani" hii hata nursing wanasoma , tunajua MD anasoma kiundani zaid, hata nurses wanasoma deep sana hii
Kwenye MD,psychiatrist ni rotation hio sio topic hio ni complete packaje watu wanamenyeka..........MD anapiga emergency medicine,occuapational medicine,family medicine etc......ambazo C.O anazisikia tu.......MD anafanya research toka MD 02[emoji16][emoji38][emoji38][emoji38].........ushawaji jiuliza kwa nini serikali inalipa mshahara wa MD mara mbili ya mshahara wa CO jumlisha Mshahara wa C.A?,[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Anyway C.O. sio daktari
 
Kama uko over 25 yrs of age alafu hii ndio thinking yako una shida mahali

Every MD that I Know , wanafikiria kua na vituo vyao vya afya, here comes someone ana ndoto za ajira
 
Utofaut wa Kielimu mbona tushakubaliana huko juu zamani tu

Ila wote n watu wa kaunta
[emoji16][emoji38]........you are fucked up again my sister.......ukienda MOI/JKCI wapo MD kibao vitengo tofauti .....MD ni kiraka ndio maana inaitwa doctor of medicine
 
Kama uko over 25 yrs of age alafu hii ndio thinking yako una shida mahali

Every MD that I Know , wanafikiria kua na vituo vyao vya afya, here comes someone ana ndoto za ajira
MD hata afanye kazi dispensary hawezi kua sawa na CO.
By the way CO sio daktari[emoji38][emoji38][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Ile screenshot uliiona au nirudie tena? Manake ukipigwa kwenzi la utosi ina assume kama huon kabisa
Hio screenshot inamfanya CO aitwe daktari sawa na mtu mwenye MD au PhD?
[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Nakuambia sababu nimepita huko

Hakuna AMO mwenye uwezo wa kumfundisha CEO , Hata MD n mmoja mmoja sana

Kwanza I think Nina module ya Anatomy.. ngoja nikupipigie picha uone walio iandaa, nikifika tu home, i think ipo
You are fucked up,more and more my sister.............walimu wa CO ni MD na AMO......specialist....... aache mambo yake aanze kudeal na vichwa maji CO kama wewe[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji16][emoji38][emoji38]
 
Hizi zote CO wanasoma pia, na sio kwamba CO anakua shallow, sio lugha sahihi, ni MD anakua little bit deeper , hilo hatukatai ila kwenye kazi wanafanya kitu kimoja
MD hawezi fanya kitu sawa na CO?.........MD ni daktari,CO ni tabibu tu......[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Tamisemi Co -680,000/=, Md 1,480,000/= tofauti laki 8
 
Sasa unachoshangaa ni nini?! AMO anafundisha CO sema siku hizi AMO wamekuwa wachache sana sio kama zamani.
Hata mkuu wako wa chuo ulichosoma CO kama sio MD ni nani?!
 
Tamisemi Co -680,000/=, Md 1,480,000/= tofauti laki 8
Yaah ni kweli,laki nane ni ndogo sana aisee[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205]..........kwa miasha ya kitanzania
N.B.
Mshahara wa C.O uzidishe mara mbili,bado MD anakua anamdai C.O zaidi ya laki 3[emoji16][emoji38][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Na kila mwenye akili anajua kua C.O sio daktari
 
We umeiweka vizuri sana, ambacho najaribu kukielezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…