Kaka, mtu akining’iniza stethoscope tayari anaamini yupo daraja moja na walimu wake.!Huyo Danpol ni mpuuzi na hajui kitu! Nadhani kaishia vidudu tu. Yeye anadhani serikali imlipe Prof afundishe Clinical medicine! Hajui mtu anafundishwa na level moja mbele yake. Au aliiba vyeti
naomba na mimi kukazia tena kwa herufi kubwa CO SIO DAKTARI, njooni nipigeni sasahapa unaweza kukuta tunabishana na dogo wa form4 aliyefeli anasubiri kwenda kusoma CO ajiite daktari , maana inaonekana hata haelewi kinachoendelea kwenye ulimwengu wa medicine , tumuache tu
nakazia pia, CO sio daktari
Hahaha kama sio mwalimu ni nani basi ?Namna hii mwl wa diploma sio mwl, nacheka sana navyopitia comments za madaktari wasomi
Udaktari ni nini ?Watu hawewezi kua na elimu sawa sababu wanafanya kazi sawa elewa hili[emoji16][emoji38][emoji38]............
MD ni doctorate degree anayopewa mtu baada ya kumaliza kozi ya doctor of medicine........MD anaweza kufanya kazi ya utabibu na hakuna kazi ya udaktari duniani
Watu wanaweza kufanya kazi ile ile kwa matokeo tofauti na hii ndio maana ya kua CO sio daktari
MD KWA kiswahili anaitwa nani ?MD haitwi,daktari sababu anatibu.......ni sababu amesomea hio fani.........doctor ni awarded unclassified degree.......
Soon tuMkuu pambana upate nafasi......Na mara nyingi C.O wengi wa serikalini wakienda MD,hupenda tena hadi super specialist.......kila la kheri mkuu
Hapa hatubishani tunawekana sawa mzee.Kama hujui kazi ya MD na CO hadi sasa,ni veme ukajifunza,ubishi hautakusaidia
MD....sio mtu ni degree ni academic professional hio watu husomea....mtu aliyemaliza kusoma MD huitwa,doctor.........mtu mwengine anayeweza kuitwa doctor kwa sababu yeyote ile ni mwenye PhD......hata hivo CO sio daktari[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205]MD KWA kiswahili anaitwa nani ?
Medical attendant kuwa na malengo sawa na CO hakumfanyi M.A kua COHapa hatubishani tunawekana sawa mzee.
Kuna limitations zipo na hiyo ndio maana ya kuwa na tofauti baina ya levo moja na nyingine ya elimu.
Lakini hayo hayafanyi hao watu wasiwe na malengo mamoja
Udaktari ni academic professional ambayo mtu hupewa na mamlaka za vyuo vikuu pekee........dakatari ni MD,BVM na PhD tu.Udaktari ni nini ?
Mimi Dsm nilivyomaliza Co nilipiga pindi chuo cha private cha Ca nilifundisha miaka 2 kasoro. Utafiti wangu Co wanafundishwa na AMO na Md, mfno chuo nilichosomea cha serikalini Amo na Md karibu wote ila Specialist alikuwa mmoja Gynaecologist ambaye alikuwa mkuu wa chuo na kufundisha alikuwa akifundisha mara chache sana baadae akachukuliwa wizara ya Afya kitengo cha Mafunzo sasa hivi yupo huko, nyuma yake alikuwa mmama Paediatrician ila na yeye alichukuliwa wizarani. Ila almost wakufunzi ni Amo na Md zaidi ya asilimia 98 ukikuta specialist labda wakuu wa vyuo na mara nyingi hawafundishi. Hicho chuo cha Ca, Co tulikuwa 2 tukifundisha first yr, Amo-2 na Md-3Huyo Danpol ni mpuuzi na hajui kitu! Nadhani kaishia vidudu tu. Yeye anadhani serikali imlipe Prof afundishe Clinical medicine! Hajui mtu anafundishwa na level moja mbele yake. Au aliiba vyeti
Angalau wewe una mwanga. Katika ufundishaji kuna ngazi zake. Na katika vyuo kuna matabaka.Mimi Dsm nilivyomaliza Co nilipiga pindi chuo cha private cha Ca nilifundisha miaka 2 kasoro. Utafiti wangu Co wanafundishwa na AMO na Md, mfno chuo nilichosomea cha serikalini Amo na Md karibu wote ila Specialist alikuwa mmoja Gynaecologist ambaye alikuwa mkuu wa chuo na kufundisha alikuwa akifundisha mara chache sana baadae akachukuliwa wizara ya Afya kitengo cha Mafunzo sasa hivi yupo huko, nyuma yake alikuwa mmama Paediatrician ila na yeye alichukuliwa wizarani. Ila almost wakufunzi ni Amo na Md zaidi ya asilimia 98 ukikuta specialist labda wakuu wa vyuo na mara nyingi hawafundishi. Hicho chuo cha Ca, Co tulikuwa 2 tukifundisha first yr, Amo-2 na Md-3
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Angalau wewe una mwanga. Katika ufundishaji kuna ngazi zake. Na katika vyuo kuna matabaka.
i. Vyuo vyote ambavyo vinatoa diploma, kada zake ni Tutors. Na Tutor ni yule ambaye ana Bachelor Degree.
ii. Vyuo vinavyotoa degree, kada zake ni Lecturers na Lecturer lazima awe na PhD. Chini yake ni Assistant Lecturer (Masters) na juu yake ni Senior Lecturer (PhD with publications, Research and Consultancies). Associate na mwisho Full Prof.
Kwa vyovyote vile ni utovu wa nidhamu Prof kufundisha NTA level 4. Imagine mtu mshahara wake ni million 7 afundishe Clinical Medicine ambapo unapata karibu MD wanne! Aidha huyo Prof atakuwa anawaconfuse wanafunzi. Likely usisahau CO ni CBET na maprof wengi hii kitu ni ndoto kwao. Usisahau kuwa Moja wapo ya takwa la CBET ni kuwa mkufunzi lazima awe mbobezi kwa vitendo katika industry na kwa mantiki hiyo, mtu wa kufundisha CO lazima awe ashaboboa katika kutibu wagonjwa. Na CO wanaenda katika zahanati, ulishawahi kuona Prof anatibu katika zahanati huko igunga?
In fact hata CO anaweza kufundisha TU NTA level 4. Hawezi kufundisha NTA l5. Niendelee au?
Sahihi kabisa hiyo maana yake ni kuwa CO anafanya kazi kama daktari na ndio maana katika masomo yao mara nyingi wanafundishwa na MD.Angalau wewe una mwanga. Katika ufundishaji kuna ngazi zake. Na katika vyuo kuna matabaka.
i. Vyuo vyote ambavyo vinatoa diploma, kada zake ni Tutors. Na Tutor ni yule ambaye ana Bachelor Degree.
ii. Vyuo vinavyotoa degree, kada zake ni Lecturers na Lecturer lazima awe na PhD. Chini yake ni Assistant Lecturer (Masters) na juu yake ni Senior Lecturer (PhD with publications, Research and Consultancies). Associate na mwisho Full Prof.
Kwa vyovyote vile ni utovu wa nidhamu Prof kufundisha NTA level 4. Imagine mtu mshahara wake ni million 7 afundishe Clinical Medicine ambapo unapata karibu MD wanne! Aidha huyo Prof atakuwa anawaconfuse wanafunzi. Likely usisahau CO ni CBET na maprof wengi hii kitu ni ndoto kwao. Usisahau kuwa Moja wapo ya takwa la CBET ni kuwa mkufunzi lazima awe mbobezi kwa vitendo katika industry na kwa mantiki hiyo, mtu wa kufundisha CO lazima awe ashaboboa katika kutibu wagonjwa. Na CO wanaenda katika zahanati, ulishawahi kuona Prof anatibu katika zahanati huko igunga?
In fact hata CO anaweza kufundisha TU NTA level 4. Hawezi kufundisha NTA l5. Niendelee au?
Hii ni maana moja ya udaktari,na kwa maana hii uliypitoa wewe hakuna atakayepingana nayo hapa kwa sababu huo utakuwa ni udaktari wa level ya elimu na Co Hapaswi kujiita hivyo kamwe kwa sababu hajafikia levo ya elimu hiyo.Udaktari ni academic professional ambayo mtu hupewa na mamlaka za vyuo vikuu pekee........dakatari ni MD,BVM na PhD tu.
Bila shaka levo zao za elimu ni tofauti kabisa na hiyo ni katika tofauti,hakuna anayessema kwamba medical attendant ni sawa na Co kwa sababu levo zao ni tofauti.Medical attendant kuwa na malengo sawa na CO hakumfanyi M.A kua CO
Mwenye diploma ya ualimu pia aktaka degree lazima asome degree ya miaka mitatu kamili.Co sio Daktari, Ukitaka udaktari lazima usome Md
Sio kwa tafsiri hiyo mtu mwenye diploma ya pharmaceutical science anaitwa fundi sanifu dawa na sio mfamasia, kada ya ualimu na kada za afya ni tofauti mimi nakumbk tangu nikiwa chuo mwaka wa 1 Mds' waliokuwa wanatufundisha walituambiwa kada ya udaktari official mpk Bachelor na ndo maana Graduate wa Md anaanza na Dr, mfno Dr Fadhil Md,Mmed na Co ni Bwana Slatcher udaktari tunaitwa tu huku bush kwasababu ndo tulipo na sehemu zingine tukitibu na ndo maana ht kwenye Hospitali za wilaya kuna chumba cha Tabibu no 1, na chumba cha daktari No 1, hiyo sio Inferiority ila ni alarm kuwa ukitaka official kuitwa Dr mpk usome Bachelor ni tofauti na Mwalimu wa shule ya msingi, sekondari. Kuitwa Daktari haimaanisha ndo official name yko ila inategemea na mazingira ulipo mfano mimi ni Co ila natambua mimi sio Daktari ni tabibu na nafanya kazi Tamisemi na ht siku moja sijawahi jitambulisha naitwa Dr slatcher maana natambua sijafikia hiyo level. Mimi ni Mganga kiongozi wa Zahanati Bw. Slatcher japo kila siku ya Mungu naitwa Daktari na wanakijiji na nimeshafanya kazi Dar, Pwani, Mwanza, Morogoro, Geita naelewa whats nextMwenye diploma ya ualimu pia aktaka degree lazima asome degree ya miaka mitatu kamili.
Hii kuwa na diploma yake hakumfanyi asiitwe mwalimu hata siku moja,na hivyo hivyo mwenye diploma ya clinical medicine atatakiwa pia kwemda degree kikamilifu na hiyo diploma yake haimfanyi asiwe ni daktari.
Mkuu hivi umepata admission university mwaka huuSio kwa tafsiri hiyo mtu mwenye diploma ya pharmaceutical science anaitwa fundi sanifu dawa na sio mfamasia, kada ya ualimu na kada za afya ni tofauti mimi nakumbk tangu nikiwa chuo mwaka wa 1 Mds' waliokuwa wanatufundisha walituambiwa kada ya udaktari official mpk Bachelor na ndo maana Graduate wa Md anaanza na Dr, mfno Dr Fadhil Md,Mmed na Co ni Bwana Slatcher udaktari tunaitwa tu huku bush kwasababu ndo tulipo na sehemu zingine tukitibu na ndo maana ht kwenye Hospitali za wilaya kuna chumba cha Tabibu no 1, na chumba cha daktari No 1, hiyo sio Inferiority ila ni alarm kuwa ukitaka official kuitwa Dr mpk usome Bachelor ni tofauti na Mwalimu wa shule ya msingi, sekondari. Kuitwa Daktari haimaanisha ndo official name yko ila inategemea na mazingira ulipo mfano mimi ni Co ila natambua mimi sio Daktari ni tabibu na nafanya kazi Tamisemi na ht siku moja sijawahi jitambulisha naitwa Dr slatcher maana natambua sijafikia hiyo level. Mimi ni Mganga kiongozi wa Zahanati Bw. Slatcher japo kila siku ya Mungu naitwa Daktari na wanakijiji na nimeshafanya kazi Dar, Pwani, Mwanza, Morogoro, Geita naelewa whats next
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app