Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

Hahahahhaha naona CO'S na kaka zao MD's wanabishana hapo juu.
 
Ikitoka hapo tuhamie kwa AMO na MD
Ikiisha na hiyo ije MD na Bachelor of Clinical Medicine
Hii nchi ngumi sana[emoji28]
 
Ikitoka hapo tuhamie kwa AMO na MD
Ikiisha na hiyo ije MD na Bachelor of Clinical Medicine
Hii nchi ngumi sana[emoji28]

Barchelor ya clinical medicine washainafkia siku nyingiii hadi imefutwa ....chuki
 
Hujui unachokiongea.......ushallow wa mtu si wa taaluma.
Hata huelewi specialist maana yake nini na purposefully yake ni nini
 
CO hajaqualify kutibu watu.......kwenye hio document kwa wenyewe huko, tafsiri uliyoitoa hakuna kitu kinaitwa CO.
Kwa ndege ulaya wanaunda,nawe unaunda yako ya mabox unaiita ndege si ndio?
 
Ni Sawa ila Kama hospitali zilivyo ambapo mgonjwa akianza anaanzia dispensary, kama kesi yake ni kubwa, anapelekwa Kituo cha Afya; na ikishindikana, anaenda Hospitali ya wilaya, mkoa rufaa ….. kwa mtindo huo CO ni Mganga kama ni zahanati. Kiukweli ndiye mtu wa kwanza kumuona mgonjwa na kesi yake ikiwa ni complicated kwake anampeleka kwa MD, MD yakimshinda anampeleka kwa mwenye Master’s etc. CO ni frontier wa udaktari, hivyo kila mmoja CO na MD ana nafasi yake katika utabibu. Inakera kuona MD anamdharau msaidizi wake ambaye ni CO au CO kujilinganisha na Boss wake MD. Lini sikio lilizidi kichwa?
 
CO ni Paramedical na sio Daktari.
Vijana mna matatizo! Nani kasema CO ni daktari? Daktari lazima awe na degree na CO hana bali ni tabibu ingawa wote ni waganga. Hapo juu nimemjibu mpuuzi aliyesema CO hajaqualify kutibu watu, maskini hajui hata kulikuwa na RMA enzi hizo na walitutibu vijijini
 
Una wazimu si bure
Kutibu watu sio ku-qualify kutibu watu............Medicine(sayansi ya Tiba),sio clinical services pekee(utabibu)
Kumbuka clinical ni part tu ya medicine.......mtu aliyequalify kutibu watu kwa standard za international ni MD.
Swali dogo...........ukiacha TZ,Kenya,ni wapi kwengine kuna CO duniani?[emoji16][emoji38][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
CO ni Paramedical na sio Daktari.
Vijana hawaelewi hili......medical hii ni sayansi ya Tiba na sio clinical services(utabibu)
Ili uweze kutibu mtu lazima usome medical services na si clinical services pekee[emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
CO uelewa wao wa mambo ni mdogo mno na ndio maana sio madaktari
 
Hapana........wewe ndio mpuuzi na for this case utakua CO.,.....MD kila kitengo yupo.......unapozungumzia sayansi ya Tiba unazungumzia,surgery,research,clinical etc vitu ambavyo CO haruhusiwi kufanya......sayansi ya Tiba(medical services),haiishii tu kwenye clinical services,,.......kusema CO amequalify kutoa Tiba sawa na MD,ni kumdharau MD...........CO amequalify kufanya baadhi tu ya clinical services.........maana CO hata harotate,ENT,PSYCHIATRY,.......OPTHA....EMERGENCY MEDICINE etc......utasemaje anaweza kutoa Tiba.......[emoji16][emoji38][emoji38][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Hapana........wewe ndio mpuuzi na for this case utakua CO.,.....MD kila kitengo yupo.......unapozungumzia sayansi ya Tiba unazungumzia,surgery,research,clinical etc vitu ambavyo CO haruhusiwi kufanya......sayansi ya Tiba(medical services),haiishii tu kwenye clinical services,,.......kusema CO amequalify kutoa Tiba sawa na MD,ni kumdharau MD...........CO amequalify kufanya baadhi tu ya clinical services.........maana CO hata harotate,ENT,PSYCHIATRY,.......OPTHA....EMERGECY MEDICINE etc......utasemaje anaweza kutoa Tiba.......[emoji16][emoji38][emoji38][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Barchelor ya clinical medicine washainafkia siku nyingiii hadi imefutwa ....chuki
Mwenye mamlaka ya kuidhinisha na kufuta degree yeyote ni TCU.....by the way hata kama hio kozi ingekuwepo ungelipwa mshahara kwa scale ipi?,kumbuka government scale kuna scale za MD na bachelor zingine......au ndio ungetaka ulipwe scale ya MD na wewe sio daktari[emoji16][emoji38][emoji205][emoji16][emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205]
Hivi vitu vipo worldwide jamani.
Sawa sawa unavoona magari,simu,TV.
Hakuna devices hizo tu kwa nchi fulani....kuna standard jamani,CO eleweni hili.............
 

Kwahio unataka kusema hata waliosoma barchelor of clinical medicine pia sio madaktari..?
 

Ila jambo ambalo hulijui ni kua mtu aliosoma barchelor ya clinical Officer analipwa scale Sawa na ya MD....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…