Mgonjwa hatoi requirements za mtu kua daktari,...udaktari hutolewa chuoni kwa mtu kusomea,ama kupewa PhDCo ni daktari ukitaka uthibitishe hapo..jipange wewe na co harafu muulize wagonjwa nani dktari na nani sio daktari..ndio utajua hujui[emoji28][emoji28]
#MaendeleoHayanaChama
Kitendo cha wewe kukubali kuwa CO ni mbadala wa MD hiyo ni ishara tosha kwamba CO anafanya kazi ambayo MD angeifanya huko vituo vidogo vya afya.CO ni kozi iliyoaanzishwa nchi masikini ili kusaidia huduma za utabibu(clinical services),sababu ya uchache wa MD.
CO kujifananisha na MD ni kudhalilisha fani na hii haikubariki hata kidogo
CO hawezi kua mbadala/alternative wa MD...CO yupo kumsaidia MD majukumu yakeKitendo cha wewe kukubali kuwa CO ni mbadala wa MD hiyo ni ishara tosha kwamba CO anafanya kazi ambayo MD angeifanya huko vituo vidogo vya afya.
Na hapa ishu sio kwa sababu ya uchche wa MD ishu ni kuwa MD lazima iwe na diploma yake kama ilivyokuwa kozi zingine ili watu ambao hawakuweza kujiendeleza moja kwa moja wapite huko.
Ualimu una diploma na degree,haina maana kwamba diploma ya ualimu imeanzishwa eti kwa sababu kuna uhaba wa waalimu wa degree hiyo sio kweli.
Ok kwa hiyo tunakubaliana kwamba CO kujiita daktari ni sawa kwa sababu anamsaidia bosi wake MD kazi ambayo na yeye ni katika majukumu yake ?CO hawezi kua mbadala/alternative wa MD...CO yupo kumsaidia MD majukumu yake
Kwa hiyo unasemaje labda[emoji23][emoji23][emoji23]Hujui unachokiongea.......ushallow wa mtu si wa taaluma.
Hata huelewi specialist maana yake nini na purposefully yake ni nini
Okay.wewe huelewi na ni mjinga sababu tu ni CO.
Unaweza kuniambia kwa ufupi maana ya neno "matibabu" kutoka katika vyanzo vyovyote tegemewa ?CO hajaqualify kutoa huduma za matibabu
Utabibu ni jina,ni kama neno udaktari ama ualimu.CO anafanya utabibu tu na hii ndio kikomo chake......
Unarudia makosa,utabibu na matibabu ni kitu kimoja.CO hajaqualify kutoa huduma za matibabu
Tiba na matibabu ni kitu kimoja kwa sababu neno tiba limetoka katika neno matibabu haiwezekani kuyatenganisha maneno hayo.CO anaweza fanya utabibu hata kwa mgonjwa wa malaria lakini hawezi kufanya Tiba.
Narudia kwwmba tiba na matibabu hakuna tofauti baina ya maneno hayo,kutoa tiba maana yake ni kutibu na kutibu ni kufanya matibabu..CO hata majibu ya chemistry kwenye mtaala wake hajifunzi kutafsiri,CO hajasoma hata biochemistry.......anawezaje sasa kutoa Tiba?
Aaa haya mbona tumeshayazoea humu wala hayana tabu kwangu..kuna sababu za dhati za wewe kua CO,ikiwemo uelewa na akili ndogo
Sayansi ya tiba na utabibu hakuna utofauti katika uhalisia wake,tunarudi kule kule kwamba tiba na matibabu ni kitu kimoja,hapo umeongeza neno sayansi.CO hajaqualify kutoa medical services(sayansi ya Tiba)
Nenda shule ili uqualify kutoa TIBA na si utabibu(clinical services)
Udaktari si jina ni either uwe MD,BVM au PhD...na kwa maana hio CO sio daktariOkay.
Unaweza kuniambia kwa ufupi maana ya neno "matibabu" kutoka katika vyanzo vyovyote tegemewa ?
Utabibu ni jina,ni kama neno udaktari ama ualimu.
Utabibu ni jina kazi yake ni kutibu.
Ualimu ni jina na kazi yake kufundisha.
Ujenzi ni jina kazi yake ni kujenga.
Kwa hiyo unatakiwa ufahamu kauznia leo kwamba utabibu ni jina na kazi ya huo utabibu ni kutibu,hivyo kama CO anasomea utabibu maana yake amwshaqualify KUTIBU WATU.
Unarudia makosa,utabibu na matibabu ni kitu kimoja.
Utabibu ni jina na kutibu ni kazi ya utabibu na matibabu ni huduma yenyewe inayotolewa na huyo tabibu.
Tiba na matibabu ni kitu kimoja kwa sababu neno tiba limetoka katika neno matibabu haiwezekani kuyatenganisha maneno hayo.
Narudia kwwmba tiba na matibabu hakuna tofauti baina ya maneno hayo,kutoa tiba maana yake ni kutibu na kutibu ni kufanya matibabu.
Aaa haya mbona tumeshayazoea humu wala hayana tabu kwangu.
Sayansi ya tiba na utabibu hakuna utofauti katika uhalisia wake,tunarudi kule kule kwamba tiba na matibabu ni kitu kimoja,hapo umeongeza neno sayansi.
Hata CO anatumia sayansi ya wataalamu kutibu wagonjwa wala hatumii uganga wa kienyeji kufanya matibabu,hakuna utofauti ndugu daktari.
Kama hujui tofauti ya medicine na clinical,sidhani kama wewe unaweza kua sio COOkay.

CO sio daktariKwa hiyo unasemaje labda[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu hawezi kuwa daktari sababu anamsaidia MD,BVM na PhD.........hizo mtu husomea chuo au hupewa kwa heshima[emoji16][emoji38][emoji205][emoji205][emoji205]Ok kwa hiyo tunakubaliana kwamba CO kujiita daktari ni sawa kwa sababu anamsaidia bosi wake MD kazi ambayo na yeye ni katika majukumu yake ?
CO ni kozi iliyoaanzishwa nchi masikini ili kusaidia huduma za utabibu(clinical services),sababu ya uchache wa MD.
CO kujifananisha na MD ni kudhalilisha fani na hii haikubariki hata kidogo
Inatolewa wapi hio kozi hapa Tanzania,.....serikali inawajili wapi hao watu?,.....wanaanza na scale gani serikalini?Boss unaifahamu physician assistant
Inatolewa wapi hio kozi hapa Tanzania,.....serikali inawajili wapi hao watu?,.....wanaanza na scale gani serikalini?
Inatolewa wapi hapa Tanzania?,wanaajiriwa wapi serikalini?,na wanaanza na scale kiasi gani?Nimekuuliza unaifahamu?
Inatolewa wapi hapa Tanzania?,wanaajiriwa wapi serikalini?,na wanaanza na scale kiasi gani?
NOTE.
CO sio daktari.....[emoji38][emoji38][emoji16][emoji205][emoji205][emoji205]
Nimekujibu poa tu.....kua CO sio daktari,ama?Boss vipi una matatizo mbona nachokuuliza na unachonijibu vitu viwili tofauti
Lakin mwisho wa siku wote mmesoma physics au sio physics?, Acha wivu wa kihivyo mkuu hawa watu wote wanatibu tu ila aliyekula mvua zake sita akiwepo lazima aheshimiwe lakin sasa unavyotoa povu as if wakiitwa ndo washachukua udaktari wenyewe, mkuu unachozungumza ni kweli lakin sasa unaonekana una hasira na jina hase waache waitwe bhanaKwani ukisoma physics ya O-level unafanana na aliyesoma physics ya A-level na aliyesoma physics ya A-level anafanana na aliyesoma physics ya Chuo Kikuu? Yaani umesoma Chemistry yako O-level unataka ufsnsnishwe na Magufuli, na wewe wajiita Mkemia. [emoji16] Shida yenu nyie CO ni uelewa mdogo saana. Hakuna njia fupi ya kuwa daktari. Kama wataka uwe MD nenda kasome MD au MBBS tena miaka walau mitano.