Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

Afadhali umesema wewe mkuu. Watanzania wengi hawajielewi kabisa
 
Kuvuta bangi ama kutokuvuta sio suala la shule za serikali wala binafsi bali malezi na tabia za mtoto mwenyewe.

Kuna jirani hapa mwanaye anasoma shule kubwa tu na maarufu ya binafsi lakini barua za wito kwa mzazi hazikauki kwa tabia mbaya ya mwanaye na kundi lake.
 
Shule za serikali zina risk kubwa kwa mtoto, hasa hizi za mijini na uswahilini, tunaishi nazo na tunaona mengi.
 
Afadhali umesema wewe mkuu. Watanzania wengi hawajielewi kabisa
Siwezi kuwapelekea wamiliki wa shule hela za bure kwa jambo lisilo na msingi wakati elimu ni kokote kikubwa uelewa wa mtoto tu.

Mjomba wangu alisoma Primary shule za Kayumba lakini alifaulu darasa la saba kwa alama za juu kabisa na akapelekwa Ilboru vipaji maalum.

Wapo waliosoma private hawana chochote cha maana zaidi ya wazazi wao kuingia hasara .
 

Usicho kijua ni kwamba watoto huwa wanafurahia zaidi na kuelewa zaidi wanapokuwa watoto wengi kuliko wanavyo kuwa wachache...

Upo na watoto lakini hujui saikolojia ya watoto. Hata watu wazima tusio na stress tupo hivyo pia.

Kuna mambo ambayo tunayaenjoy zaidi tunapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu wengi zaidi kuliko wachache. Mfano mpirani, tunaenjoy zaidi siku uwanja ukijaa.

Shule ya msingi watoto hawaendi kusoma tu ila wanaenda kukua pia na kujifunza kwa vitendo kupitia watoto wanzao.

Chances za mtoto kujifunza kwenye mkusanyiko wa watoto wengi ni nyingi zaidi kuliko watoto wachache..
 
Hahaaaaaa, hunidanganyi mzee. PoleπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanangu wataanza kayumba baada ya kumaliza english medium primary.
Wakati huo wana uwezo wa hata kuangalia na kuelewa cnn news kwenye luninga. English ndio lugha kuu ya mawasiliano duniani, mijadala mingi sana inatupita tu kwa sababu tunahitaji akina mkandala, kututafsiria taarifa za habari.
 
2M haitoshi hata ada ya mtoto mmoja kwa baadhi ya shule nzuri hapa Town.

Hiyo ni hela ya school bus and stationary.

Kwa jinsi unavyo waza una kila haki ya kuendelea kupigwa vihela vyako na Wamiliki wa Ems, kwa sababu hupendi kufikiri.

Kama anapata 2Ms kwa mwezi maana yake ni anakunja 24Ms per year.

Ada za shule za EMs nyingi ni 2m per year ukijumlisha na vikorokoro vingine ina enda mpaka 3 point something per.


Hupendi kufikiri
 
Mijadala yenyewe hii ya kina P.Diddy? Unataka mtoto wako aanze kulishwa propaganda za ushoga akiwa shule ya msingi eti eeh?
Endelea
 
Mbona mapema kiasi hiki, ndani miezi miwili kusahihisha na kupanga matokeo
Mitihani yao yote ni ya kushade, hakuna insha wala maswali yanayohitaji maelezo, ni A B C D tu.... kwa tetesi huwa wana mashine za kusahihishia.

Kwa huo mfumo zoezi la kusahihisha ni rahisi sana tena hata mwezi halitakiwi kumaliza
 
Anajifariji tu, Elimu nzuri lazima iwe na gharama.
Yes Elimu nzuri lazima na gharama lakini kwanza ujue " Elimu nzuri" ni nini?

Hiyo inayo tolewa EM haina vigezo vya kuitwa Elimu nzuri
 
Huna hela
 
Hizo za 3M bado zipo chini...

At least 5M per year, Hapo uhakika wa Elimu bora upo.

Kuhusu kufikiri, maybe Kweli sipendi kufikiri kwamba vya bure vinaa thamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…