Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

Kwa nini umechagua sample ya Arusha secondary wakati shule zilikuwa nyingi
 
Na bado Kuna watu walipata Div 1 ya saba
 
Kwa nini umechagua sample ya Arusha secondary wakati shule zilikuwa nyingi
Imetokea tu, ilikuwa haraka sana na Arusha ikawa chaguo la kwanza kulipata kwa haraka.
 
Zile habari za kuwa mtihani ulikuwa ikitungwa na wanafunzi wa chuo cha udsm au baraza kwa kubadilisha mwaka na mwaka ni za kweli? Maana tulikuwa tunasema kama mwaka jana walifunga udsm basi si mwaka huu ni Baraza ,huku ya baraza ikiwa rahisi
 
Aisee! Wahusika wa huu mtihani wa mwaka 2012 wanalaani kila kitu, NECTA, watunzi, wasahishaji, wasimamizi, waliowapuna credits zao na kila mtu anayepita kati yao anapewa za uso. Shukuru Mungu haukuufanya huu mtihani
Dah pole yao
 
Haya Matokeo yalifichwa.
Ww unayatoa Wapi!?
 
Na balehe nayo inakuwa imechochea kweri kwerii
 
Alhamdulillah nilipata ka two ka 18 ...baadae kakawa one ya 14........

By the way nipo Nanyumbu huku najumua korosho ........🙌
Kuna jamaa mkeka ulippgeuzwa na kuletwa mpya alilaani na anaendelea kulaani hadi leo, mkeka ulimtoa kutoka Div II na kumtupia kwenye Div IV ya uswesede.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…