Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

πŸ˜₯πŸ˜₯Mimi ni miongoni mwa waliofanya mtihani mwaka huo shule moja ya kata jijini arusha,, aise sitaki hata kukumbuka,, shuleni kwetu walio fanikiwa kuendelea mbele ni wanafunzi wanne tuu kati ya wanafunzi 541 tulio fanya mtihani shuleni hapo
 
Watu wana guts za ajabu, jamaa mwaka mzima analia na Tranter tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo unakutana na mdau wako ambaye anakuambia "Hii Roger Muncaster nimemaliza, nikimaliza T.Duncan mwezi wa tatu naamia kwenye Nelkon", unajicheki unakuja kugundua wewe ni ng'o
Ahahaha Roger jau sana..
Kule unakutana na concept hata chand hawana...

Nelkon nayo ya kibabe kiasi
Ila duncan mapicha picha alafu kuna vi topic mule nilikua nafatilia sana kama astronomy
 
Watu wana guts za ajabu, jamaa mwaka mzima analia na Tranter tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Mizigo ya pure hiyooo
Logman
 
Ahahaha Roger jau sana..
Kule unakutana na concept hata chand hawana...

Nelkon nayo ya kibabe kiasi
Ila duncan mapicha picha alafu kuna vi topic mule nilikua nafatilia sana kama astronomy
Kuna muda unahisi umerogwa na watu wa kijijini kwenu kwani kila unapomeza madude yanaamua kuchanua wakati wa mtihani unagandisha mkono hewani dakika kadhaa haujui uandike nini.
 
Kuna muda unahisi umerogwa na watu wa kijijini kwenu kwani kila unapomeza madude yanaamua kuchanua wakati wa mtihani unagandisha mkono hewani dakika kadhaa haujui uandike nini.
Hapo unakuta ni double ..
Yaan asubhi umepiga phsy 1 alafu jioni ni chem 2 manina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2010 pia mtihani ulikuwa mgumu yaani kupata one ilikuwa ni kimbembe.
 
Acha kudeka.
 
Kwa upande wa Hisabati mambo hayakuwa magumu sana, sijapitia mitihani mingine.
pitia Physics advance 2013 aliyeongoza alipata C,
sikuwahi kuona mtihani mgumu kama ule umejaa matangopoli nasoma maswali ghafla nikapata tumbo la kuhara,

Toka nianze shule sukuwahi kwenda haja kubwa huku mtihani unaendelea ule ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…