Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

Mambo yamekuwa marahisi and so predictable. Walio maliza 2009- kurudi nyuma pepa zilikuwa tight sana, alie pita kweli alikuwa jembe
Naikumbuka matching item ya history nectar 2006 "The periplus of erythean Sea" Ngoma ilisimama lakini nilipata B Hadi tcha akanipeleka staff nikanywe chai siku nilipoenda chukua cheti!!

Paper ilikua paper kweli kweli!!
 
Aisee
 
Mtihani ni huu hapa
 

Attachments

Elerai nn?
 
Kwa sample hizo za vilaza tu bado haileti ushawishi wa taharuki. Ila naunga mkono elimu kipindi hiko ilikuwa walau inawanyorosha vijana.
 
2015 wakaamua kuwagaia watu C tu mna ndo tuseme shule karibia zote akili zao zinafanana?
 
Umeeleza vyema kabisa yaani umeufunga mjadala huu.

Nakubaliana na wewe πŸ’―
 
Zamani matokeo yakitoka linakua Jambo la kitaifa..

Yaan wazazi na wadau wa ELIMU wanakua attention kujua Ila kwa Sasa hata sio big issue

Zama zimebadilika Sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…