Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

Mambo yamekuwa marahisi and so predictable. Walio maliza 2009- kurudi nyuma pepa zilikuwa tight sana, alie pita kweli alikuwa jembe
Naikumbuka matching item ya history nectar 2006 "The periplus of erythean Sea" Ngoma ilisimama lakini nilipata B Hadi tcha akanipeleka staff nikanywe chai siku nilipoenda chukua cheti!!

Paper ilikua paper kweli kweli!!
 
πŸ˜₯πŸ˜₯Mimi ni miongoni mwa waliofanya mtihani mwaka huo shule moja ya kata jijini arusha,, aise sitaki hata kukumbuka,, shuleni kwetu walio fanikiwa kuendelea mbele ni wanafunzi wanne tuu kati ya wanafunzi 541 tulio fanya mtihani shuleni hapo
Aisee
 
pitia Physics advance 2013 aliyeongoza alipata C,
sikuwahi kuona mtihani mgumu kama ule umejaa matangopoli nasoma maswali ghafla nikapata tumbo la kuhara,

Toka nianze shule sukuwahi kwenda haja kubwa huku mtihani unaendelea ule ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza,
Mtihani ni huu hapa
 

Attachments

πŸ˜₯πŸ˜₯Mimi ni miongoni mwa waliofanya mtihani mwaka huo shule moja ya kata jijini arusha,, aise sitaki hata kukumbuka,, shuleni kwetu walio fanikiwa kuendelea mbele ni wanafunzi wanne tuu kati ya wanafunzi 541 tulio fanya mtihani shuleni hapo
Elerai nn?
 
Kwa sample hizo za vilaza tu bado haileti ushawishi wa taharuki. Ila naunga mkono elimu kipindi hiko ilikuwa walau inawanyorosha vijana.
 
2015 wakaamua kuwagaia watu C tu mna ndo tuseme shule karibia zote akili zao zinafanana?
 
Form one hadi four ni elimu rahis sana
Sanaaa kuwai kutokea
Sema wanafunzi wanamambo meingi mnooo
Mimi nilifaulu masomo ya o level kwenye mazingira magumu sana
Nilikua naweza kutumia silabasi nikaoanisha na vitabu na nikasoma
Nimesoma masaini huko ndani ndani
Ila baada ya kukutana na elimu ya advance na chuo nakiri tena
Elimu ya o level ni rahis sana
ningepata walimu wanaojituma kama sasa
Kama nisingekua TO basi one of the top stiudent in Tanzania
Yaani ni simple tu SOMA
Sikuhizi wanafunzi wana silabasi kama 6 kichwani
1.masomo
2.mikeka/kubeti
3.tamthilia za huba
4.yanga na simba
5.ps magemu
6.kokoro la mchina
7,ugoro
8.picha za pillau
9.nitapata wapi simu kwa watoto wa kike
10.bodaboda kwa watoto wa kike
11.shisha ya umeme wanaingia nayo hadi mabwenini

Aiseee TULIO WAZAZI TUANGALIE SANA
Umeeleza vyema kabisa yaani umeufunga mjadala huu.

Nakubaliana na wewe πŸ’―
 
Dr am 4 real PhD Detective J miaka ya 2009 Rudi nyuma mtu ukipata div 1 ya point 7 form 4, Yani wewe kweli ni kidume, na ukiwa na div 1 ya 7 kuna uwezekano upo top 10 ya kitaifa..

Nakumbuka 2009, mwanangu mmoja wa majengo secondary ya moshi anaitwa wolfgang seiya, form 4 alikuwa mtu wa 3 kitaifa..alienda soma international school of moshi kwa scholarship, baada ya hapo akapata scholarship ya kwenda duke university USA, sijui sahivi Yuko wapi
Zamani matokeo yakitoka linakua Jambo la kitaifa..

Yaan wazazi na wadau wa ELIMU wanakua attention kujua Ila kwa Sasa hata sio big issue

Zama zimebadilika Sanaa.
 
Back
Top Bottom