Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
nashukuru mkuu nikipata tu nakuja na mrejeshoSawa mkuu kila la kheri ila usimuumize mtoto.
Kama hakufanya vizuri nitafute PM nikupe ushauri flani jinsi ya kumsaidia asome vipi na mengineyo nina uhakika utaona mabadiliko makubwa sana.
Nimekupata mkuu. Form four walikuwa wangapi?Mkuu hao 1.6M ni darasa la NNE, sio kidato cha NNE. Acha kuchanganya madesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwako Kama mzazi.Thanks God my daughter (last born) didn't let me down. 11 points is - good achievement. Zikupoteza ada niliyomlipia
😅 😅 😅 😅 😅Sisi QT sugu tunayasubilia kwa hamu,wayaweke faster tujue mwaka huu tunaanza kureseat somo gani tena
Husiowapenda ndo wanakuongoza kitaifa.Shule gani imeongoza kitaifa? majina ya wanafunzi vipanga wa Taifa
Hongera Baba!Thanks God my daughter (last born) didn't let me down. 11 points is - good achievement. Zikupoteza ada niliyomlipia
Hii elimu bure ni janga!Husiowapenda ndo wanakuongoza kitaifa.
Naam kemebos kutoka kagera View attachment 1317222
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU FORTALEZA ASANTE SANA,HII SHULE YA ARUSHA CATHOLIC WAMENIFURAHISHA SANA
Matokeo ya Kidato cha Nne, Kidato cha Pili na Darasa la Nne yametangazwa leo Baraza la Mitihani la Taifa (Necta)
Muda si mrefu yatapandishwa kwenye tovuti ya baraza hilo, hivyo tuendelee kuwa na subira.
Nitarejea kuleta updates
View attachment 1316881
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Nne na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili iliyofanyika 2019. Matokeo hayo yanapatikana kwenye tovuti ya NECTA.
Matokeo ya Kidato cha nne
Sent using iPhone
===
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo Alhamisi Januari 9, 2020 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde amesema ufaulu katika mtihani wa upimaji wa darasa la nne umeongezeka kwa asilimia 26.21.
>>Matokeo Darasa la nne haya hapa
Jumla ya watahiniwa 1,531,120 kati ya wanafunzi 1,665, 863 wamepata alama A,B,C na D ikilinganishwa na wanafunzi 1,213, 132 waliofaulu mwaka 2018.
Katika mtihani wa upimaji kidato cha pili, wanafunzi 514,251 sawa na asilimia 90.04 kati ya wanafunzi 571,137 wamefanya vizuri katika mtihani huo na kuwawezesha kuingia kidato cha tatu.
Matokeo kidato cha pili haya hapa
Baada ya kelele mingi at last Kaskazin wamepewa ten hadhi yao kuwa namba moja japo jamaa hapendi kweli. AsanteKuna maelezo ya ziada hapa.
View attachment 1317038View attachment 1317039View attachment 1317040View attachment 1317041View attachment 1317042View attachment 1317043View attachment 1317044View attachment 1317045View attachment 1317047View attachment 1317048View attachment 1317049View attachment 1317053View attachment 1317054View attachment 1317055View attachment 1317057View attachment 1317058
Hiv umecheki kagera vzr wewBaada ya kelele mingi at last Kaskazin wamepewa ten hadhi yao kuwa namba moja japo jamaa hapendi kweli. Asante
Hiv aliyemaliza na kwenda advance vizur hlf kukawa na somo moja tuseme bios alipata F, anaweza kuja ku-clear badayHongereni mliofaulu na mlioshindwa msikate tamaa mnaweza kurudia mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa F.4 mkoa wa Kilimanjaro ndio umeshika no.1