Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Ninamshukuru sana Mungu kwa matokeo ya watoto wangu, hakika Mungu ametutendea makuu katika familia yangu, binti ameondoka na div I form 4, mdogo wake ametoka na A zote std 4,hakika Mungu ni mwema
 
Hata watoto waliporudi kutoka shule baada ya mtihani walilalamika, walisema necta walibadilisha format ya mtihani wa physics hasa kwenye practical
 
mkuu naangaika na link ya matokeo ya darasa la nne nimekosa nasubil badae kidogo ila bado mkuu akitinyanga Kaz ntapata kesi Leo
Leo matokeo hata hayasumbui kufunguka......
 
Mwanangu ana iii 24. Civ C Hist C Geog D Kisw C Eng C bios C maths F. Vipi advance ataenda au hata collage? ?
Naombeni mwongozo wajuvi

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza, hasa hiyo HKL, sema Sahv wanaomaliza wengi na sio wote wataenda Advance rejea posts za mwaka jana.. Anaweza jikuta kapangiwa Mara sijui Chuo Cha maendeleo ya Jamii!!!

Typed Using KIDOLE
 
Kazi iliyobakia ni kuitumia sasa hio elimu waliyoipata.....sio tunamkuta chuo anaanza kugombania mabwana na wenzake baada ha kufanya uvumbuzi ama tafiti fulani katika eneo fulani hivi nyeti
Ninamshukuru sana Mungu kwa matokeo ya watoto wangu, hakika Mungu ametutendea makuu katika familia yangu, binti ameondoka na div I form 4, mdogo wake ametoka na A zote std 4,hakika Mungu ni mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupitia Diploma ni kumpitisha mtoyo njia ndefu....Maana amalize Diploma, afanye kazi..aje tena baadae kujiendeleza kupata Degree.

Labda kuModify ushauri wako useme hivi ""Wawapeleke Diploma, wakishamaliza Diploma...waunganishe Degree"""

yaani mtoto anapomaliza Diploma aunge Degree, hii nitakuunga mkono kidogo.

Na Diploma aaangalie za fani ipo! (I recommend zile za afya).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 Baby.....
πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‡πŸ˜
 
Ninamshukuru sana Mungu kwa matokeo ya watoto wangu, hakika Mungu ametutendea makuu katika familia yangu, binti ameondoka na div I form 4, mdogo wake ametoka na A zote std 4,hakika Mungu ni mwema
Watoto wako Au!?? Hiyo range Veepee!!??
 
Mkuu umefikia wapi na Ninja Jr?
Naona kama hiyo fimbo ilitakiwa itumike kabla ya kufanya mitihani, sio wakati wa kupokea matokeo.
mkuu nimetupa fimbo nimeenda kumnunulia zawad kapiga KO ya maana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…