Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
mkuu dogo kapafom fresh thanks alot mkuuSawa mkuu kila la kheri ila usimuumize mtoto.
Kama hakufanya vizuri nitafute PM nikupe ushauri flani jinsi ya kumsaidia asome vipi na mengineyo nina uhakika utaona mabadiliko makubwa sana.
Waambie hao watu wanajifanya hawaoni.Wahaya ni hatari jamani tuache roho mbaya
Nimeingia kwenye tovuti yao naona bado hawaja yaweka
Kabisa aisee yaani ukigusa tu imooooLeo matokeo hata hayasumbui kufunguka......
.asante sana japo nilisikia wakisema eti anko eti wawakazie madogo sikuhizi...Anaweza, hasa hiyo HKL, sema Sahv wanaomaliza wengi na sio wote wataenda Advance rejea posts za mwaka jana.. Anaweza jikuta kapangiwa Mara sijui Chuo Cha maendeleo ya Jamii!!!
Typed Using KIDOLE
Kilimanjaro mbona ni kawaida kila mwaka inaongoza matokeo ya form four?
Mkuu kwa F.4 mkoa wa Kilimanjaro ndio umeshika no.1
View attachment 1317290
Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk kumi Bora kilimanjaro tuna mbiliHusiowapenda ndo wanakuongoza kitaifa.
Naam kemebos kutoka kagera View attachment 1317222
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu na shule finyu kitaifa kagera mmetoa mbili[emoji3]Husiowapenda ndo wanakuongoza kitaifa.
Naam kemebos kutoka kagera View attachment 1317222
Sent using Jamii Forums mobile app
Halmashauri kumi bora Kagera wametoa mbili, shule bora kitaifa ni Kemebos ya Bukoba...acha kabisa sijui ni sato na matokeKtk kumi Bora kilimanjaro tuna mbili
Pia mwanafunz Bora wa kike Ni mchaga anaitwa joan rite
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizunngumzii shule, hizo ni takwimu za Necta kwa mikoa mitatu kinara
Da hiyo nyaishozi imenifurahisha..Waambie hao watu wanajifanya hawaoni.
Hebu tazamen top ten zote
Kuna mpaka shule ya kata Nyaishozi hukoView attachment 1317419View attachment 1317420View attachment 1317421
Sent using Jamii Forums mobile app