Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Matokeo ya Kidato cha Nne, cha pili na darasa la nne mwaka 2019 yatangazwa

Sawa mkuu kila la kheri ila usimuumize mtoto.
Kama hakufanya vizuri nitafute PM nikupe ushauri flani jinsi ya kumsaidia asome vipi na mengineyo nina uhakika utaona mabadiliko makubwa sana.
mkuu dogo kapafom fresh thanks alot mkuu
 
Wahaya ni hatari jamani tuache roho mbaya
Waambie hao watu wanajifanya hawaoni.

Hebu tazamen top ten zote


Kuna mpaka shule ya kata Nyaishozi huko
Screenshot_20200109-160749.jpeg
tapatalk_1578575223461.jpeg
tapatalk_1578575493880.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • tapatalk_1578575481665.jpeg
    tapatalk_1578575481665.jpeg
    90.8 KB · Views: 2
Nimeangalia matokeo ya shule nyingi (kwa form four) hasa special schools naona 1.7 nyingi zina PHYSICS grade B/C chache ndio zina grade A, Inaonekana Physics haikua mchezo mwaka huu.

All In all nawapongeza sana waliofaulu, waliofeli wasikate tamaa maana hao ndio watakuja kuwaajiri hawa waliopasua.
Kufaulu class sio maisha(mfano ni mimi) japo ni njia nzuri yakufanikiwa.

Congrats ya'all out there... Cheers

Distributed Denial-of-Service
 
Anaweza, hasa hiyo HKL, sema Sahv wanaomaliza wengi na sio wote wataenda Advance rejea posts za mwaka jana.. Anaweza jikuta kapangiwa Mara sijui Chuo Cha maendeleo ya Jamii!!!

Typed Using KIDOLE
.asante sana japo nilisikia wakisema eti anko eti wawakazie madogo sikuhizi...


Cc Smart911
 
Wamejitahidi sana, ufaulu umeongezeka mwaka huu. Mungu awasaidie waendelee mbele zaidi kielimu.
 
Watoto wa siku hizi wanaonekana wana akili sana.
Maana enzi zangu div. 0 zilikuwa 60%.

What's the point of knowing if you can't change it
 
Hiv umecheki kagera vzr wew

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro mbona ni kawaida kila mwaka inaongoza matokeo ya form four?
Unasema kagera ? Matokeo yanaonyesha shule ktk shule kumi Bora kagera Ni moja ya kemboys,wakati kilimanjaro zipo mbili(anuarite na maua) pia mwanafunz bora wa kike ni mchaga anaitwa Joan rite wa st Françis upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom