Kuna kitu hakipo sawa kama tunipima ufaulu tukama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
Tunaweka siasa kwenye elimu ila watumie kwenye ajenda ya oktoba tunatiki“Mwaka wa uchaguzi”
Kwamba matokea yameletwa na siasa?Tunaweka siasa kwenye elimu ila watumie kwenye ajenda ya oktoba tunatiki
Tunahitaji wastaniWakifeli sana shida
Wakifaulu sana shida.
Watanzania mnatakaje?
Government schools zinarejea kwa Kazi sana zile kongwe,nawashauri madogo watafute udhamini wakusomea nje ila isiwe India(wengi walioenda vyuoni I huko hawajui chochote),China kuko sawakama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
kama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
Elimu yetu Kila siku inashuka thamani Kwa sababu za siasa, hutuwaandai wanafunzi kuja kuwa competent bali tunawaanda kuja kuwa misukuleKwamba matokea yameletwa na siasa?
kipi please nielimisheKuna kitu hakipo sawa kama tunipima ufaulu tu
Normally PCB huwa ngumu by "default"....sasa almost wote PCB wamepita.Wakifeli sana shida
Wakifaulu sana shida.
Watanzania mnatakaje?
kama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
mwaka huu ufaulu ie scores ni very highNecta huwa wanahesabu aliyefaulu anakuwa amepata mwisho four .
The same form four na form two