BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Yaani wanaosoma wengi wewe utake wasifaulu sana ukiwa kama nani?Tunataka wasifeli Sana na wasifaulu sana
Watoto wako wafanye wasifaulu wengine wanataka watoto wetu wafaulu.
Yaani wanaosoma wengi wewe utake wasifaulu sana ukiwa kama nani?Tunataka wasifeli Sana na wasifaulu sana
Ni kweli usemacho lakini inabidi tujiulize kwanini hizo division 4 zimekuwa nyingi( naamini itakuwa hivyo)..nafikiri hata huko NO REFORMS tena nzito, inahitajika pia...ELIMU NDIO MOYO WA NCHINaomba nielezee kidogo hapa
Serikali ikisema walifaulu ni 98%
Mfano form four wanakuwa wanahesabau hivi aliyepa 1-4
Kwahiyo mtoto wako akipata D mbili anakuwa anhesabika amefaulu
The same form six ukipata S mbili unahesabika umefaulu Ila hata Diploma hauwezi kusoma
Kama umenielewa sema yes
Kibongo bongo wanapokwambia “mtoto amefaulu”, huwa wanamaanisha hajapata division zerokama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
Kwa nini sio India?Government schools zinarejea kwa Kazi sana zile kongwe,nawashauri madogo watafute udhamini wakusomea nje ila isiwe India(wengi walioenda vyuoni I huko hawajui chochote),China kuko sawa