Matokeo ya Kidato cha sita 2025: Inaonekana almost wote wamefaulu, kutakuwa na shida kubwa ya University placement

Matokeo ya Kidato cha sita 2025: Inaonekana almost wote wamefaulu, kutakuwa na shida kubwa ya University placement

mwaka huu ufaulu ie scores ni very high

Naomba nielezee kidogo hapa

Serikali ikisema walifaulu ni 98%

Mfano form four wanakuwa wanahesabau hivi aliyepa 1-4

Kwahiyo mtoto wako akipata D mbili anakuwa anhesabika amefaulu

The same form six ukipata S mbili unahesabika umefaulu Ila hata Diploma hauwezi kusoma

Kama umenielewa sema yes
 
Fine! Very correct! My point is: average score points "almost" "wote" say 80% ni div 1.... umenipata?
 
Fine! Very correct! My point is: average score points "almost" "wote" say 80% ni div 1.... umenipata?

Unabidi uangalie ambao wamepata alama za kuwawezsmesha kuingia university ni wangapi .

Form six tangia miaka ya nyuma ufaulu huwa unakuaga mzuri .

Siasa zipo katika matokeo hazikosekani Mkuu ila ni vizuri ukajielimisha pia.

Mfano mwaka jana ufaulu wa form four ulikuwa 90%+ Ila wanafunzi waliopata daraja la 1-3 walikuwa hawafiki asilimia 50%
 
Normally PCB huwa ngumu by "default"....sasa almost wote PCB wamepita.

Ngoja nikwambie kijana, University of Dar enzi za tangu kuanzishwa mpaka miaka ya 80s tutorial assistants (wanaobaki kufundisha... that was the criteria of University teachers recruitment) walikuwa ni wale wa 1st class Honours with GPA 4.8/5! walikuwa wanabaki 1 or 2...not more than that! Ilukuwa ngumu kupata GPA hiyo

Nasikia siku hizi wanaopata 4.8 ni kama 50! 😀 😀 😀 😀 😀 🙄 🙄 🙄😀😳

Mfano mwingine ni Kampala University...hiyo kila "mmoja" anayeomba wa upuuzi wa kubabaisha inampa uprofesa.....
Joined jf 2016 unaniita kijana.
Fikra mgando unatolea mfano wa 80s enzi hizo vitendea kazi nyenzo za kusomea mwanafunzi zilikuwa za tabu.
Miaka hiyo Chuo wenye Pc wachache leo hii simu tu zinawasaidia wanafunzi kitafta materials mbalimbali tofauti na zamani
Unataka watu wapate GPA sawa na miaka kale ndo ioneshe Elimu iko bora!

Ndio PCB ni ngumu kulingana na muda na mitaala inavorekebishwa.
Upatikanaji wa walimu tuitions zinafanya wanafunzi kupata uelewa tofauti na zamani walimu shida.
Yaani kwamba zamani shule nzima wanafaulu watoto wawili huo ndo ulokuwa ubora wa elimu au uduni wa Elimu?
 
take note big discoveries on earth zimefanyika in the absence of computers!................
 
Kuchanganya siasa kwenye suala la msingi la elimu ni hatari kwa mustakabali wa taifa.

Hapo wanafurahishwa wazazi hata kama mtoto ni kilaza potelea mbali atakwamia huko huko chuoni.

Yaani mzazi anachoma fedha kibao halafu mtoto anakuja ku disco dakika za jioni.
si wanasoma Kwa mikopo na boom au veep mkuu
 
si wanasoma Kwa mikopo na boom au veep mkuu
Hakuna guarantee ya kupata mkopo mkuu.

Mtu anaweza kuwa na sifa zote za kupata mkopo kama yatima, kaya masikini inayosaidiwa na Tasaf lakini bado usipate mkopo.

Vilio ni vingi sana vyuoni na wengi wanadhani wakijiunga tu chuo basi mkopo nje nje, haiko hivyo.

Chukulia mfano kwa mwaka mmoja jumla ya wanachuo waliopo vyuoni kuanzia first year hadi third /fourth/fifth year ni zaidi ya laki 4 lakini wanaopata mkopo ni kama nusu yao tu.

Sasa hao wanaobaki ni wengi pia na ndiyo husona kwa tabu sana halafu kama mwanafunzi mwenyewe 'alifaulishwa' ni mtihani zaidi ya mzazi.
 
Hao wakifika chuo kikuu ndio wanaanza kuwagombea kina Mwijaku...
 
Ufaulu na vigezo vya kujiunga university ni tofauti.
Ufaulu ni pale asipopata sifuri lakini kigezo cha kuendelea chuo kikuu ni angalau awe amefikisha points 4 kwenye masomo mawili
 
Nazan wamejifunza kutoka kwa mwaka wetu 2012 tulichinjwa mno watu walilalamik mno.
Awataki lawama.tena😅

Na mdgo wangu shule fulani ya serikali ni kilaza , kilaza eti kapata 1 point 6😅 kupitia HGL yake nimeshangaa san
 
Yakheeeee, Acha kelele, chukua urojo na kachori ule ukalale. Mambo ya ilimu waachie watu wa bara
 
kama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
Ufaulu wanaomaanisha ni Div 4. Kwa wao walio fail ni wale waliopata Div 0.

So katika hiyo 99.95% kuna wanafunzi kibao hawana sifa za kuendelea na vyuo vikuu
 
Back
Top Bottom