Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,527
Nakushauri ubadili ID.
Never ever coz hakuna sehemu nimeandika huyo ni mimiNakushauri ubadili ID.
We kijana unavuta cha wapi??Never ever coz hakuna sehemu nimeandika huyo ni mimi
Eeeh! Una michambo kama za ashura ndala ndefu.Hatimaye baada ya wajawazito wote waliokuwa wanatapika maneno machafu mara oh ameweka nida yake wamefanikiwa kujifungua salama na kelele zote zimekoma unajua mjamzito anaposukuma mtoto huwa anapiga mikelele kama ambayo wajawazito wa humu walivyo kuwa wanatapika jana na kiufupi tuwapongeze tena nimekimbia kuna wajawazito wawili walipiga kelele et wanwan haja jibu comment hata moja hawa wamejifungua mapacha shida ni kwamba watoto wao hawana midomo
navuta cha kwenuWe kijana unavuta cha wapi??
Eeeh! Una michambo kama za ashura ndala ndefu.
Sema umeingia jf kichwa kichwa ukakutana na za uso😀😀😀
Iron man hapa za uso zikija zinadundaEeeh! Una michambo kama za ashura ndala ndefu.
Sema umeingia jf kichwa kichwa ukakutana na za uso😀😀😀
Unakula ANDAZI nini 😁Siufute jasho ndio ujipost kututia kichefuchefu tu
Mbon badonmwili wa kizembe