White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Kuna mtu anasema alienda sheli na kidumu alikuwa anataka mafuta kwa ajili ya mashine ya kupulizia dawa akaambiwa aibebe akaweke mafuta kwenye mashineSerikali yenu haikuwaza kuwa mafuta yanatumika pia kwenye mashine za kusaga,Engine za boti na mitambo mengine,ambapo pia kwenda na hivyo vitu petrol station ni kazi?!
Inatakiwa uende na kidumu cha bati na si cha plastikiWatu wa Water pump, jenereta wananunuaje mafuta?
Tusubili wakemia waje kutupa sababu za kisayansiKwanini wanazua mkuu..
Kikemia hii ipoje mpaka wameamua hvo
Kwanini mkuuInatakiwa uende na kidumu cha bati na si cha plastiki
Sawa mkuuTusubili wakemia waje kutupa sababu za kisayansi
Kuna galoni za chuma za kubebea mafuta zinaitwa JERRY CAN zipo hadi za lita hadi 20 japo bei zimechangamka hilo la 20L ni 120,000 hadi 100,000 ila ni galoni za chuma kwa ajili ya kazi hiyo.Serikali yenu haikuwaza kuwa mafuta yanatumika pia kwenye mashine za kusaga,Engine za boti na mitambo mengine,ambapo pia kwenda na hivyo vitu petrol station ni kazi?!
Unaweza kutoa sababu za kisayansi na kikemia kuzuia kubeba mafuta kwenye plastikiKuna galoni za chuma za kubebea mafuta zinaitwa JERRY CAN zipo hadi za lita hadi 20 japo bei zimechangamka hilo la 20L ni 120,000 hadi 100,000 ila ni galoni za chuma kwa ajili ya kazi hiyo.
Sifahamu masuala ya kemia Mkuu ila madhara yakimazingira ni pamoja na uwezekano wakulipuka au kuvuja hasa petrol ndio maana hata pipe za mafuta kwenye gari sio plastic ni mpira wenye nyuzi. Japo pump huwa ni plastic ila sio nyepesi ipo kama yakuvunjika.Unaweza kutoa sababu za kisayansi na kikemia kuzuia kubeba mafuta kwenye plastiki
Lakini hii pia inaweza kuwa fursa kwa wale wanaotengeneza vyombo vya bati kama sufuria n.k naamini wanaweza kutengeneza jerry can za bei nafuu na size tofauti ....Kuna galoni za chuma za kubebea mafuta zinaitwa JERRY CAN zipo hadi za lita hadi 20 japo bei zimechangamka hilo la 20L ni 120,000 hadi 100,000 ila ni galoni za chuma kwa ajili ya kazi hiyo.
Asanteh kwa maelezo yako mkuuSifahamu masuala ya kemia Mkuu ila madhara yakimazingira ni pamoja na uwezekano wakulipuka au kuvuja hasa petrol ndio maana hata pipe za mafuta kwenye gari sio plastic ni mpira wenye nyuzi. Japo pump huwa ni plastic ila sio nyepesi ipo kama yakuvunjika.
Ukiuangalia mfuniko wa JERRY CAN hata ukiliweka ndani ya gari hautasikia harufu ya petrol, ila sasa chukua galoni la kawaida hata ulikaze vipi hapo ndani lazima msikie harufu ya petrol, maana yake ni kuwa huwenda inavuja maana ile ni kama gesi tu.
πππ ule mfuniko wake utawatoa knok out Mkuu maana una kama matundu mawili ila moja huwa sijui linaishia ndani umbali gani. Ile sayansi pale sio yakubahatisha japo inawezekana pia.Lakini hii pia inaweza kuwa fursa kwa wale wanaotengeneza vyombo vya bati kama sufuria n.k naamini wanaweza kutengeneza jerry can za bei nafuu...
Ukipata picha utuwekee mkuu tuuone tusije kutolewa lko outπππ ule mfuniko wake utawatoa knok out Mkuu maana una kama matundu mawili ila moja huwa sijui linaishia ndani umbali gani. Ile sayansi pale sio yakubahatisha japo inawezekana pia.
Ni kweli japo inahitaji utaalamu wa hali ya juu kutengenezaLakini hii pia inaweza kuwa fursa kwa wale wanaotengeneza vyombo vya bati kama sufuria n.k naamini wanaweza kutengeneza jerry can za bei nafuu na size tofauti ....