Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Sheria ilikataza kitambo ila sasa hivi wamerudia kufanya utekelezaji sababu nakumbuka miaka ya 2010/12 ilikuwa hivi hivi walikataza sana ila mazoea yakajirudia upya.Hii imegundulika sasa hv au toka zamani mkuu.?
Aaaah hapo nimekuelewa mkuuSheria ilikataza kitambo ila sasa hivi wamerudia kufanya utekelezaji sababu nakumbuka miaka ya 2010/12 ilikuwa hivi hivi walikataza sana ila mazoea yakajirudia upya.
Vyombo vya bati.Kama vile ina make sense lakini wangetoa mwongozo ni aina gani ya vyombo vinavyotakiwa kubebea mafuta na kurahisisha upatikanaji wake nadala yake wametoa tangazo tu la kukataza
Ni tangu zamani mkuu, nadhani tangu katikati mwa karne ya 20 si zaidi ya hapo. Wenye namba za uhakika watanisaidia.Hii imegundulika sasa hv au toka zamani mkuu.?
Serikali ya awamu ya sita inaogopa maandamo yanaweza kutokea vijana wakuchukua mafuta sheli kwa vidumu na kwenda kufanya hujuma kwenye miundombinu ya serikali kama majengo au magari jambo ambalo si kweli..Kwanini wanazuia mkuu..
Kikemia hii ipoje mpaka wameamua hvo
Cha plastic kina shida gani?Inatakiwa uende na kidumu cha bati na si cha plastiki
Hakuna cha kemia wala biology mtu mweusi hasa mtanzania ni tatizo sana miaka yote toka uhuru watu wanapima kwenye leo miaka 60 baadae waje wakwambie haifai si uhuni huoKwanini wanazuia mkuu..
Kikemia hii ipoje mpaka wameamua hvo
Lugha ya ya AI kabisa hii.Plastiki inaweza kusababisha umeme wa statiki, hasa ikiwa mvuke wa mafuta unajaa ndani ya chombo. Umeme huu unaweza kuchochea moto au mlipuko.
Mafuta kama petroli ni babuzi na yanaweza kuchochea kemikali kutoka kwa plastiki, jambo linaloweza kuathiri ubora wa mafuta.
Ova
Badala ya kutatua tatizo wameongeza tatizoNi takribani miezi miwili sasa tangu serikali ipige marufuku matumizi ya vifaa vya plastiki (vidumu vya lita tano au madumu ya lita 20) kuchukulia mafuta kutoka vituo vya mafuta.
Leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jambo ambalo sasa watu wengi ambao wana uhitaji wa mafuta wanatumia njia hii ili kuweza kupata mafuta.
Wanachofanya ni kwamba wanaongea na dereva wa bodaboda anaenda sheli kuweka mafuta kwenye pikipiki halafu waotoa kwenye pikipiki na kuweka kwenye kidumu, wenyewe wanaita kunyonya.
View attachment 3154050View attachment 3154051
Wazipeleke vituo vya mafuta. Maswali mengine ni IQ tests, na kwa hilo huwa sifeli hovyoWatu wa Water pump, jenereta wananunuaje mafuta?
Moja kati ya inventions ya NAZi scientistsπππ ule mfuniko wake utawatoa knok out Mkuu maana una kama matundu mawili ila moja huwa sijui linaishia ndani umbali gani. Ile sayansi pale sio yakubahatisha japo inawezekana pia.
Hakuna sababu zozote za maana kwa sasa bali ni kukurupuka kwa wasomi wetu.Unaweza kutoa sababu za kisayansi na kikemia kuzuia kubeba mafuta kwenye plastiki
Unaenda nalo sheliNa wenye majenereta inakuaje?
Ukweli ni kwamba serikai iko sahihi kwenye hili,Ni takribani miezi miwili sasa tangu serikali ipige marufuku matumizi ya vifaa vya plastiki (vidumu vya lita tano au madumu ya lita 20) kuchukulia mafuta kutoka vituo vya mafuta.
Leo katika pita pita zangu nikakutana na hili jambo ambalo sasa watu wengi ambao wana uhitaji wa mafuta wanatumia njia hii ili kuweza kupata mafuta.
Wanachofanya ni kwamba wanaongea na dereva wa bodaboda anaenda sheli kuweka mafuta kwenye pikipiki halafu waotoa kwenye pikipiki na kuweka kwenye kidumu, wenyewe wanaita kunyonya.
Etu hii kitu inauzwa laki moja?Hizo hapo jerry can Mkuu, sasa hiyo iliyo wazi hapo huo mdomo kwa ndani una sehemu mbili. Kesho nitapiga picha langu kwa ndani ulione lilivyo huo mdomo