Fukua
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 546
- 479
Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.
Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.
Nimeamini Watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni Mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama Mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa nini Watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.
Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.
Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.