Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

Matokeo ya Uhuru kuzidi sana ni ujeuri

Fukua

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
546
Reaction score
479
Nawasalimu kwa jina la JMT

Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.

Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.

Nimeamini Watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.

Ukiacha urais mama SAMIA ni Mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama Mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.

Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo Watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.

lkn Hoja yangu ni kwamba kwa nini Watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.

Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.

Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
 
Acha kutumia uhuru vibaya mkuu ukuku wake Nini Sasa, maana hats Mimi sipendi kabisa kuitana Majina ya kuudhi
Ni kuwaza kuwa Kila Mtu mwenye mtazamo tofauti na Mwana CCM basi Yeye sio mzalendo, sio mtanzania, haitakii mema nchi! Huu ndio ujuha na ukuku ninaozungumzia. Hapa amemtanguliza tu Mama Samia kama shield 🛡️ Ili kuficha ujinga Wake.
 
Tusiotegemea uteuzi tumejituliza huku, hatuna shobo.. Mama akifanya vema tunamsifu anaupiga mwingi, akizingua vijana wanaruka nae kuwa ni mama tozo,

Shida iko wapi, au akiitwa mama tozo anatoka vidonda mwilini?
Kwani hatuwezi kukosoa bila kupachikana Majina ya hovyo?
 
Attachments

  • 20220708_174631.jpg
    20220708_174631.jpg
    108.1 KB · Views: 4
Kwani mawazo tofauti ni kuwatukana wengine?
Ni kuwaza kuwa Kila Mtu mwenye mtazamo tofauti na Mwana CCM basi Yeye sio mzalendo, sio mtanzania, haitakii mema nchi! Huu ndio ujuha na ukuku ninaozungumzia. Hapa amemtanguliza tu Mama Samia kama shield 🛡️ Ili kuficha ujinga Wake
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.

Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.

Nimeamini watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa Nini watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.

Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.

Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Ukitaka kuwa rais ujue kuwa rais umekubali kuitwa majina ya ajabu, kwa haki na bila haki.

Watanzania wengi tatizo lao wanaheshimu sana watawala. Hilo ndilo tatizo.

Na wewe ni mfano wa tatizo hilo.
 
Nawasalimu kwa jina la JMT
Watanzania ni watu wakulalamika Kila kitu. Hawana jema Wala shukrani kwa kweli.

Ninasikitishwa sana na matusi, kejeli na majina ya hovyo hovyo anayopewa AMIRI JESHI MKUU, Rais na Mama yetu mpendwa SAMIA hasa hili jina la kipuuzi kabisa HETI mama TOZO mara nchi yetu imepachikwa TOZONIA hawa wapuuzi wanaudhi sana.

Nimeamini watanzania wachache hasa wajiitao upinzani wanautumia uhuru wao vibaya.
Ukiacha urais mama SAMIA ni mtanzania anayepaswa kuheshimiwa kama mtanzania mwingine, kumkejeli na kumtukana hovyo si sawa kabisa.
Mama SAMIA ni nguli na jabali la siasa Tanzania na AFRIKA nina amini kejeli matusi na Majina haya ya hovyo hayawezi kusababisha ashindwe kuwatumikia na kuwaletea maendeleo watanzania, atawapuuza Wapuuzi hao.
lkn Hoja yangu ni kwamba kwa Nini watanzania baadhi yetu tunashindwa kuheshimiana tukipewa uhuru tunageuka watukanaji, waasi, na wasioheshimuna kujali utu wa wengine.

Kumbukeni uhuru ni Bora kuliko tozo ni lazima tujitolee kuijenga Tanzania yetu.

Pia tunakupongeza sana mama HATUA ZOTE zinazohusu mchakato wa SENSAYA WATU NA MAKAZI zinaendelea vizuri sana wananchi wako tayari kuhesabiwa.
Ulikuwa mwanagang,unatamani kuendeleza agenda za wanagang🤔
 
Back
Top Bottom