Kaka kwel unakaribia kufa π π hivi ni nchi gani ndani ya miezi miwili unaweza kusanya 100 mil? Kama wewe ni mtoto wa maskini mwenzangu?KUzaa makoti kama bodaboda watumwa nyie hamjielewi ...Mnshangaa maghorofa mpaka mnazeeka.
Nilipata mishe zingine ambazo naona zina umuhimu kwa sasa kuliko hiliIkawaje ukakata tamaa now?
Hizo pesa unatumia wapi ? Unafikria kuna maandazi ya 200? Ukiujua uchumi basi utakuwa umeelewa ,pasingekuwa na homelessKaka kwel unakaribia kufa π π hivi ni nchi gani ndani ya miezi miwili unaweza kusanya 100 mil? Kama wewe ni mtoto wa maskini mwenzangu?
Kwetu kupo na kuna mijengo ya maana na sio kitoto wewe apply green card mkuu huwenda mwezi wa 9 ukaibuka mshindi gademiiit.Watumwa hao kama hawana kwao.
π€£π€£Acha uzushi nyie ni watumwa ..Mkashangae maghorofaKwetu kupo na kuna mijengo ya maana na sio kitoto wewe apply green card mkuu huwenda mwezi wa 9 ukaibuka mshindi gademiiit.
Unkaribia kufa master, ebu kabla ujafa utoke maghetoni gademiiit ππ€£π€£Acha uzushi nyie ni watumwa ..Mkashangae maghorofa
Utumwa wa samia na njaa na utumwa wa trumpo ukiwa umeshiba upi una nafuu? Utumwa wa wabongo upo ndani ya vichwa ndio shida kubwa!Mbona wewe ni mtumwa wa viongozi wa ccm na watoto wao na tumenyamaza?
10m? Sasa huu si mtaji unaanzisha kilimo ndani ya muda mfupi unakua don bwashee. Mi nadhani kama ni kweli inahitajika 10m bora mbakie bongo tuWengi hawajiamini kabisa hawajui kuna watu wengi tu hawajui hata kingereza kabisa ila wana piga kazi ,pia kingine hata ukishinda utahitajika kiasi fulani cha pesa kama 10mil za kufanya mchakato na kianzio ,kwa sababu mimi siwezi kuhost mtu ale anywe na kulala bure tu hakuna host wa hivyoπ
Watumwa nyieUnkaribia kufa master, ebu kabla ujafa utoke maghetoni gademiiit π
Kabisa mkuu watanzania sisi ni watu wa tofauti mno hasa kwenye kutafuta fursa mbalimbali duniani kwa namna zozote zile , yani kila mpaka kila ukikutana na mtu ukamwambia wewe umetokea East Africa anakuuliza Kenya au? Inabidi ujitete mno na uhusishe mlima kilimanjaro ndio unaeleweka .Utumwa wa samia na njaa na utumwa wa trumpo ukiwa umeshiba upi una nafuu? Utumwa wa wabongo upo ndani ya vichwa ndio shida kubwa!
sure -- hii imeelewekaWengi hawajiamini kabisa hawajui kuna watu wengi tu hawajui hata kingereza kabisa ila wana piga kazi ,pia kingine hata ukishinda utahitajika kiasi fulani cha pesa kama 10mil za kufanya mchakato na kianzio ,kwa sababu mimi siwezi kuhost mtu ale anywe na kulala bure tu hakuna host wa hivyoπ
Kama ni hivyo hata Rais wako ni mtumwa maana analipwa mshaharaMtumwa wenye hauna elimu ...π€£π€£Unaenda kuwa mtumwa ...
Kweli mkunanazi huyuMwache akune nazi huyu
Ova
10m? Sasa huu si mtaji unaanzisha kilimo ndani ya muda mfupi unakua don bwashee. Mi nadhani kama ni kweli inahitajika 10m bora mbakie bongo tu
Kwa hiyo anaomba kwenda kuishi huko ,oneni mlivyokosa kazi yaani mentality za kitumwa ...Kama ni hivyo hata Rais wako ni mtumwa maana analipwa mshahara
Hapana kwa sababu sina 10m mkuuWe umeanzisha?
Baki tu bongo bwashee mimi mshahara wangu wa mwisho bongo ni million 3.6 take home, labda wewe una maisha zaidi .10m? Sasa huu si mtaji unaanzisha kilimo ndani ya muda mfupi unakua don bwashee. Mi nadhani kama ni kweli inahitajika 10m bora mbakie bongo tu