Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

Isenye

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
97
Reaction score
628
Hamjambo humu?
Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali.

Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected.

Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
 

Attachments

Kuna makosa hapo kuna 68% wawili moja kachukuliwa mwingine kaachwa, pia 64% wako watatu mmoja kachukuliwa wawili wakala panga. Hii sio sawa ni double standards, wote wachukuliwe au waachwe.
 
Sikuliona hili tangazo la kazi la TAA, naomba kujua walilitangaza wapi ili next time na mm nijarib bahati yangu
 
Written hiyo mlifanya kwenye Computer au mliandika kawaida kwenye karatasi? Hongera sana
 
Miak yetu wakti tunaomba kazi Airport kulikuwa hakuna mitihani ya kuandika.Hongereni.Mfanye kazi kwa bidii
 
Kuna makosa hapo kuna 68% wawili moja kachukuliwa mwingine kaachwa, pia 64% wako watatu mmoja kachukuliwa wawili wakala panga. Hii sio sawa ni double standards, wote wachukuliwe au waachwe.
Kwa kada moja?
 
Sema wale jamaa walicho haribu ni double standard sijui wanajisikiaje pale walipo chukua mmoja kwa walio score sawa
 
Pole San mtoa mada. Na hongera . itakuw pepa yenu mulifaulu san Nd maan wamewek hio 85. Kw Sisi watu WA security pepa yetu walichukua kuanzia 56 kuja juu.
Ila naomb kuuliza kw wazoefu inachukua muda gani adi watu kuitwa kazini kw wataofaulu ?
 
Back
Top Bottom