Tafiti mara nyingi hazilengi kupata pesa. Bali to come to new truth/knowledge or contradict/prove/ assimilate new and old patterns of knowledge or facts or perspectives. Kazi kubwa ya research ni knowledge generation sio kupata pesa.Hiyo tafiti inakusaidia kupata chakula cha kula na familia
Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.Sijui niseme nini
But first ni hongera Kwa utafiti..
Labda niseme now hiyo biashara imeahamia telegram zaidi..
Halafu wanafunzi wa vyuo hawajiuzi waziwazi sana ingawa nao wapo..
Next time weka profile kama ya mzungu ushangae zaidi....
Huko telegram kama hujawahi kwenda basi ukienda hutaamini utakachoona
Kwenye tafiti za aina hii, moja ya Swali gumu kulijibu ni he wanafunzi wanaojiuza kwenye mitandao ni wahitimu/wanafunzi wa vyuo vikuu? Maana ni ngumu kuwa na vigezo ambavyo kwa asilimia 100 vitahakikisha kweli una exclude wasio wanachuo, unless uwaambie wakuonyeshe ID zao au vyeti (which does not make sense in this type of 'business' kuulizana vyeti)Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
U have nailed it mkuu.Tafiti mara nyingi hazilengi kupata pesa. Bali to come to new truth/knowledge or contradict/prove/ assimilate new and old patterns of knowledge or facts or perspectives. Kazi kubwa ya research ni knowledge generation sio kupata pesa.
Ni sawa lakini faida yako ilikua ni nini na ulipata malipo gani,nasema hivyo maana sisi wanaume wengi wa kiTanzania tumewazoea wanawake hawa wa hapa kwetu kua wako kimaslahi ya pesa maana bila hata utafiti wa mitandaoni,tulisha tafiti wenyewe mitaani..so wewe lengo lako nini? Au hiyo ni taasisi?na kama ni taasisi mnafanya hivyo ili nini?Swali zuri sana ambalo lina address kitu kikubwa kwenye utafiti, bias...
Naomba nikujibu kwa ku copy na kupaste post # 44 ya bwana rollaNi sawa lakini faida yako ilikua ni nini na ulipata malipo gani,nasema hivyo maana sisi wanaume wengi wa kiTanzania tumewazoea wanawake hawa wa hapa kwetu kua wako kimaslahi ya pesa maana bila hata utafiti wa mitandaoni,tulisha tafiti wenyewe mitaani..so wewe lengo lako nini? Au hiyo ni taasisi?na kama ni taasisi mnafanya hivyo ili nini?
kuna groups za watoto wa chuo wanajiuza.Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
Hii ni wrong assumption in the first place. Kwamba wasichana WOTE wa Kitanzania (asilimia 100) walioko badoo wanajiuza?Unafanya Utafiti Badoo? majibu yapo wazi na mtandao ndo kazi yake
ni Sawa na ukaulize Kimboka kama wale wadada wanajiuza,
Okkuna groups za watoto wa chuo wanajiuza.
hii research ni nzuri km ni kweli basi jamii yetu inashida kubwa hasa kwenye maadili..jamani hivi hakuna kabisa vitu vya kufanyia research on?
Huyo ni WakudadavuwaMalaya ni malaya tu, mwingine yumo humu, alimegwa kwa sh. 7'800/- tu
Kingine kuhusu tafiti
Nashauri ufanye utafiti wa madalali
Wapo madalali wanaosema kabisa Wana mabinti wa vyuo..ukitaka wanakutumia picha unachagua wanakuletea labda hili litathibitisha ukweli au uzushi
Wanajiuza kwa kugawa namba ovyo popote pale wakiobwa namba wanatoa halafu wakiitwa hawakatai sasa akiitwa labda na watu 6 siku tofauti anachuja anabaki na wenye uwezo wa kumuhonga...Sijui kwa Telegram atafanya utafiti gani maana kule kila kitu kipo uchi. Wanafunzi wa vyuo hawajiuzi kwenye magroup labda nimsaidie tu, hao mnaotumiwa sio wanafunzi wa vyuo, wao huwa wanadalaliana wao kwa wao sio kwa kupitia groups.
Haisaidii chochoteNaomba nikujibu kwa ku copy na kupaste post # 44 ya bwana rolla
"Tafiti mara nyingi hazilengi kupata pesa. Bali to come to new truth/knowledge or contradict/prove/ assimilate new and old patterns of knowledge or facts or perspectives. Kazi kubwa ya research ni knowledge generation sio kupata pesa."
Hii ni interesting sana mkuu.Kama hutojali..ongeza na hili..
Wanaojiuza ni kweli wanatoka familia zenye Hali ngumu??Au ni kama lifestyle?
Wapo wake za watu?Wachumba?
Wanaojiuza kwenye mitandao na wanajiuza mitaani pia?Au mitaani wanafanya shughuli zingine?Wanazuga??..
Je kujiuza kumewawezesha kitu gani?
Basi mkuu endelea na mambo mengine yanayosaidia. Leave in peace.Haisaidii chochote
Hii ndio style yao. Hapo ujiandae na vibomu vya kuanzia 50bucksWanajiuza kwa kugawa namba ovyo popote pale wakiobwa namba wanatoa halafu wakiitwa hawakatai sasa akiitwa labda na watu 6 siku tofauti anachuja anabaki na wenye uwezo wa kumuhonga...
Mnapangwa kama 7 hvi we unajiona mjanja umepewa namba kaja umekula mzigo siku hyo hyo kumbe hakuna kituHii ndio style yao. Hapo ujiandae na vibomu vya kuanzia 50bucks
Hii itakuwa research ngumu kufanya....maana unatakiwa uyashuhudie maisha yao nje na umalaya.Kama hutojali..ongeza na hili..
Wanaojiuza ni kweli wanatoka familia zenye Hali ngumu??Au ni kama lifestyle?
Wapo wake za watu?Wachumba?
Wanaojiuza kwenye mitandao na wanajiuza mitaani pia?Au mitaani wanafanya shughuli zingine?Wanazuga??..
Je kujiuza kumewawezesha kitu gani?