Ana ni binti na Zambi ni ubini wakeNaomba mnisaidie,eti kusema binti ana zambi maana yake ndio nini?
Mmeniacha kwakweli...
Ohhh....Al-Haramain Secondary School ShauriMoyo, Ilala, shule hii inasifika kwa nidhamu ya hali ya juu
[emoji23][emoji23][emoji23]Zambi ni jina la mzazi wake.
Dhambi ni ile sasa uliyoifanya kabla hujaingia JF
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIAAl-Haramain hali ipoje?
SEX | I | II | III | IV | 0 |
F | 0 | 8 | 12 | 4 | 0 |
M | 0 | 5 | 10 | 2 | 0 |
T | 0 | 13 | 22 | 6 | 0 |
Hongereni sana. Mnastahili Cheti cha Ushindi. Wabillah TaufiqNATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2019 EXAMINATION RESULTS
S4539 AL HARAMYN SECONDARY SCHOOL
DIVISION PERFORMANCE SUMMARY
SEX I II III IV 0
F 0 8 12 4 0
M 0 5 10 2 0
T 0 13 22 6 0
Hongereni Wagalatia kwa kutoa Top 10Hongereni akina nani sasa? mimi nimekuwekea, mtafute FaizaFoxy upate vidonge
You are simply an idiot, I'm not a MuslimHongereni Wagalatia kwa kutoa Top 10
Shule za Wakatoliki ninaziaminiHapo arudi kuendelea shule hiyo hiyo aliyosoma O'level (kama wana A'level)