Matokeo yule binti aliefiwa na wazazi wote(Anna Zambi)

Matokeo yule binti aliefiwa na wazazi wote(Anna Zambi)

Wewe ni wale wanaoshindwa kutofautisha barabara (njia) na barabara (sawasawa) maana ya neno haiwezi kubadilika eti kwakuwa umewaza hivyo. Dhambi itabaki kuwa dhambi na zambi litabaji kuwa jina.


Sema vyovyote lakini hata hivyo hilo jina sio kabisa Anna Zambi na ana dhambi kuna tofauti gani hapo
 
ALIYEFIWA NA WAZAZI, NDUGU WATATU, APATA DIVISION 1.

Mwanafunzi Anna Zambi aliyefiwa na wazazi wake na wadogo zake watatu siku chache kabla ya mtihani wa kidato cha nne amefaulu kwa kupata 'Division 1' .
.
Mwanafunzi Mwanafunzi huyo aliyemaliza shule ya Sekondari Mother Theresia Of Calcuta, Kilimanjaro aliwaliza wananchi baada ya kupata taarifa ya vifo vya wazazi na ndugu zake, Novemba 16 mwaka jana baada ya kumaliza mitihani

View attachment 1318216
View attachment 1318217

Jamani watu wengine sijui wakoje.
Hizo picha za nini sasa? Unakumbusha watu machungu.
Ingekuwa vizuri kuweka picha yake peke yake pps, na matokeo na si kuweka picha za makaburi, huo ni unyanyasaji wa kisaikolojia.
 
Wameconsider continuous assessment zake..nadhani
 
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Wewe uliyepewa jina zuri unaweza kuwa ndio una madhambi shetani anasubiri. Jina liko tofauti kabisa na ulichosema maana hata herufi hazifanani halafu MUNGU sio mswahili
 
Ni kweli maana madaraja yaliyopo Tz ni pamoja na Usweru, Kigamboni, Tazara, Manzese, Buguruni, etc. Haaaaaa
Umeuliza swali zuri, ila hiilo la division 6, halina mashiko maana hiyo kitu haipo katika madaraja ya TZ
 
Back
Top Bottom