Matokeo yule binti aliefiwa na wazazi wote(Anna Zambi)

Hili nalo ni neno

Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekana lakini shida inakuja mnaweza kuwa na nia ya kusaidiana ktk jambo fulani lakini ikatafsiriwa tofauti na baadhi ya watu na mwisho wa siku ukaonekana ni mpigaji ila haya mambo ya kusaidiana yanawezekana hasa ukizingatia wadau waJF ni wengi, na si huyu tuu wapo wengi ambao wanahitaji backups kwa njia moja ama nyingine, lakini kwa mtu mmoja mmoja inakuwa ngumu kutoa msaada hasa wa kifedha. kilakitu kinawezekana shida inakuja je wote wana nia kama yako? jibu ni hapana kuna wengine wana fikra tofauti basi unabaki tu na wazo lako siku zinaenda.
 
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Mkuu huo ni ukoo maarufu kabisa huko....humkumbuki waziri wa kikwete...mkuu wa mkoa lindi curently....alaf kuna tofauti ya dh na z

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Tambua hilo ni la ukoo mkuu,kumbuka hata kwemye utawala wa Jk kulikuwa na mkuu wa mkoa kama sikosei alikuwa anaitwa somebody Zambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Acha tafsiri mbaya.Ni dhambi sio "zambi".Zambi ni kiswahili cha watu wanaoshindwa kutamka neno dhambi kwa usahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Wewe ni wale wanaoshindwa kutofautisha barabara (njia) na barabara (sawasawa) maana ya neno haiwezi kubadilika eti kwakuwa umewaza hivyo. Dhambi itabaki kuwa dhambi na zambi litabaji kuwa jina.
 
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!

Yaan nimewaza mara mia mia kwa kweli jina lake Anna Zambi? hapana bora awe anatumia jina la katikati zaidi kabisa
 
Back
Top Bottom