Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Haya sasa nendeni mkamshambulie na makamera yenu kama kawaida
Kuna tofauti kati ya "zambi" na "dhambi". Usijitoe ufahamu!!Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Zambi na dhambi wapi na wapi?Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Utaambiwa unasuka mpango wa "KUPIGA"tumchangie hata 1000 kumuunga mkono..humu member wengi maisha safi buku linatosha kama tutakuwa na nia ila kidukulilo yeye atoe mil 5 naamin si kitu kwake.
ALIYEFIWA NA WAZAZI, NDUGU WATATU, APATA DIVISION 1.
Mwanafunzi Anna Zambi aliyefiwa na wazazi wake na wadogo zake watatu siku chache kabla ya mtihani wa kidato cha nne amefaulu kwa kupata 'Division 1' .
.
Mwanafunzi Mwanafunzi huyo aliyemaliza shule ya Sekondari Mother Theresia Of Calcuta, Kilimanjaro aliwaliza wananchi baada ya kupata taarifa ya vifo vya wazazi na ndugu zake, Novemba 16 mwaka jana baada ya kumaliza mitihani
View attachment 1318216
View attachment 1318217
Umeandika kitu kikubwa sana kwa waelewa.Amefutwa machozi
Jr[emoji769]
dah kweli mkuu, Nafuta kauli, unaweza kuwa na wazo jema mwisho ukaonekana lijizi la mtandaoni, aisee nafuta kauli.Utaambiwa unasuka mpango wa "KUPIGA"
kuna tofauti kati ya Dha na Za! wewe utakuwa na tatizo la lugha!! kwako zao la korosho utasema dhao la korosho!!Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
🤣🤣Utaambiwa unasuka mpango wa "KUPIGA"
Sure.Shule za Wakatoliki ninaziamini
Na kesi ya kutakatisha pesa itamfata!Utaambiwa unasuka mpango wa "KUPIGA"
Sure..Amefutwa machozi
Jr[emoji769]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]nacheka kama mazuriStupid