Matokeo yule binti aliefiwa na wazazi wote(Anna Zambi)

Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
 
Kuna tofauti kati ya "zambi" na "dhambi". Usijitoe ufahamu!!

Au div one imekuuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefutwa machozi
Jr[emoji769]
 
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
kuna tofauti kati ya Dha na Za! wewe utakuwa na tatizo la lugha!! kwako zao la korosho utasema dhao la korosho!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…