Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Hili nalo ni nenotumchangie hata 1000 kumuunga mkono..humu member wengi maisha safi buku linatosha kama tutakuwa na nia ila kidukulilo yeye atoe mil 5 naamin si kitu kwake.
Hayo mengine tuyaache.. Hongera Bint na ongeza bidii.
ahaaa nilijua kuna kitu kimefichwa kumbe ni jina lake tu,asante kwa kunielewesha ushimen.
Nshapata majibu hata hivyoHayo mengine tuyaache.. Hongera Bint na ongeza bidii.
inawezekana lakini shida inakuja mnaweza kuwa na nia ya kusaidiana ktk jambo fulani lakini ikatafsiriwa tofauti na baadhi ya watu na mwisho wa siku ukaonekana ni mpigaji ila haya mambo ya kusaidiana yanawezekana hasa ukizingatia wadau waJF ni wengi, na si huyu tuu wapo wengi ambao wanahitaji backups kwa njia moja ama nyingine, lakini kwa mtu mmoja mmoja inakuwa ngumu kutoa msaada hasa wa kifedha. kilakitu kinawezekana shida inakuja je wote wana nia kama yako? jibu ni hapana kuna wengine wana fikra tofauti basi unabaki tu na wazo lako siku zinaenda.
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Mkuu huo ni ukoo maarufu kabisa huko....humkumbuki waziri wa kikwete...mkuu wa mkoa lindi curently....alaf kuna tofauti ya dh na zTuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Kwa hiyo kuwa ukoo maarufu ndiyo inasaidia nini? Jibu lako ulilosema kuna tofauti ya "dh na z" lilikuwa linatosha kabisa.Mkuu huo ni ukoo maarufu kabisa huko....humkumbuki waziri wa kikwete...mkuu wa mkoa lindi curently....alaf kuna tofauti ya dh na z
Sent using Jamii Forums mobile app
Tambua hilo ni la ukoo mkuu,kumbuka hata kwemye utawala wa Jk kulikuwa na mkuu wa mkoa kama sikosei alikuwa anaitwa somebody ZambiTuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Utakuwa umetafsiri kwa kilatiniTuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Huo ni ukoo wa wanyiha ktk lugha yao kwani yale majina ya kumamoto japan ni matuc...? Fikiri zaidiKwa hiyo kuwa ukoo maarufu ndiyo inasaidia nini? Jibu lako ulilosema kuna tofauti ya "dh na z" lilikuwa linatosha kabisa.
Acha tafsiri mbaya.Ni dhambi sio "zambi".Zambi ni kiswahili cha watu wanaoshindwa kutamka neno dhambi kwa usahihi.Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
tumchangie hata 1000 kumuunga mkono..humu member wengi maisha safi buku linatosha kama tutakuwa na nia ila kidukulilo yeye atoe mil 5 naamin si kitu kwake.
Wewe ni wale wanaoshindwa kutofautisha barabara (njia) na barabara (sawasawa) maana ya neno haiwezi kubadilika eti kwakuwa umewaza hivyo. Dhambi itabaki kuwa dhambi na zambi litabaji kuwa jina.Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Tuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!