Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,442
- 5,746
Wewe ni wale wanaoshindwa kutofautisha barabara (njia) na barabara (sawasawa) maana ya neno haiwezi kubadilika eti kwakuwa umewaza hivyo. Dhambi itabaki kuwa dhambi na zambi litabaji kuwa jina.
ALIYEFIWA NA WAZAZI, NDUGU WATATU, APATA DIVISION 1.
Mwanafunzi Anna Zambi aliyefiwa na wazazi wake na wadogo zake watatu siku chache kabla ya mtihani wa kidato cha nne amefaulu kwa kupata 'Division 1' .
.
Mwanafunzi Mwanafunzi huyo aliyemaliza shule ya Sekondari Mother Theresia Of Calcuta, Kilimanjaro aliwaliza wananchi baada ya kupata taarifa ya vifo vya wazazi na ndugu zake, Novemba 16 mwaka jana baada ya kumaliza mitihani
View attachment 1318216
View attachment 1318217
MmhTuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
Jamaa ni mwna ccm so msamehe bureKuna tofauti kati ya "zambi" na "dhambi". Usijitoe ufahamu!!
Au div one imekuuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kidukulilo anasemaje
Sent using Jamii Forums mobile app
kiduku ana pesa za kutosha kwa maelezo yake, sasa c vibaya zile za kubakibaki akawa anakumbuka huku nyumbani wapo watu hata mlo mmoja wa siku ni shida kwao, wapo watu wanaishi maisha duni kupitiliza anaweza kusaidia hata watoto yatima itakuwa poa sana
Ina maana hii: Jina lake anaitwa Ana zambi na Binti ni salutation kama Mr, Mrs, Miss, Dr. etc)
Awe amefeli au kufaulu wewe inakuhusu nini? Division 6 ya kwako wewe!!!Salam wakuu, hivi yule binti aliepoteza wazazi na wadogo zake kwa ajali alipokua akijiandaa na mitihani ya kidato cha nne, nani anajua matokeo yake alifaulu? Maana wengine wanasema ana division 6
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uliyepewa jina zuri unaweza kuwa ndio una madhambi shetani anasubiri. Jina liko tofauti kabisa na ulichosema maana hata herufi hazifanani halafu MUNGU sio mswahiliTuwe makini na majina tunayowaita watoto. Kimatamshi jina la "Anna Zambi", linabeba maana ya " ana dhambi". Inaweza tafsirika kuwa yote yaliyompata ni kwasababu ana dhambi! Majina mengine bwanaa! Khaaaa!!!
tumchangie hata 1000 kumuunga mkono..humu member wengi maisha safi buku linatosha kama tutakuwa na nia ila kidukulilo yeye atoe mil 5 naamin si kitu kwake.
Hakuna aliyekuuliza kuhusu hayo unayoeleza.Huo ni ukoo wa wanyiha ktk lugha yao kwani yale majina ya kumamoto japan ni matuc...? Fikiri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuliza swali zuri, ila hiilo la division 6, halina mashiko maana hiyo kitu haipo katika madaraja ya TZ
Nshajua hata hivyo 1 ya ngapi