Zile stika wananunua serikalini kama ilivyo float na bank au mitandao ya simuSasa kwanini serikali ishurutishe raia kuchangia watu binafsi matrilion kila mwaka ilihali yenyewe inakosa hata pesa ya kuboresha miundombinu ya barabara? Ni kwanini hii pesa ya bima isiende serikalini ili ikasaidie kuboresha huduma za kijamii, na kama mtu akihitaji kulipwa bima afuatilie moja kwa moja serikalini kupitia mawakala wa bima waliopo kila kona? Kwanini tulazimishwe na polisi kuchangia watu binafsi matrilioni kila mwaka?! Why?! Trillion 3 kila mwaka tunalizimishwa kuwalipa, kwnai nchi yao hii?!!
Kwani nani amebisha hilo? Kwanza watu hawabandiki stika siku hizi. Tunachosema ni kwamba kodi ya ‘Third party’ tunayoshurutishwa kulipa na polisi ipelekwe serikalini ili ikasadie walau kuongeza vitanda vya kujifungulia mahospitalini. Na madai yote ya ‘third party’ yatalipwa na serikali kupitia shirika la bima la taifa.Zile stika wananunua serikalini kama ilivyo float na bank au mitandao ya simu
Sawa kwani mmiliki wa bima nchini ni nani?Kwani nani amebisha hilo? Kwanza watu hawabandiki stika siku hizi. Tunachosema ni kwamba kodi ya ‘Third party’ tunayoshurutishwa kulipa na polisi ipelekwe serikalini ili ikasadie walau kuongeza vitanda vya kujifungulia mahospitalini. Na madai yote ya ‘third party’ yatalipwa na serikali kupitia shirika la bima la taifa.
SawaPia kumlimda mhusika wa tatu. Third party asiyehusika na gari lako endapo utafanya maamuzi yatakayosababisha uharibifu.
Unamaanisha makampuni ya bima? Yapo binafsi na lipo la serikali. Eitherway, tunachosema ni kwamba kodi yote ya ‘third party’ ifikishwe serikalini, na third party yeyote atakayekuwa na madai atayapeleka serikalini na yatalipwa na seriakali kupitia shirika la bima la taifa.Sawa kwani mmiliki wa bima nchini ni nani?
Exactly, hakuna third party anaeweza kupambana mahakamani na haya makampuni akashinda, watu humalozana wenyewe kwa wenyewe tu, ukizingatia kulipa ni lazima; sasa tunapendekeza hii kodi ya ‘third party’ ifikishwe serikalini ili ikasaidie kuongeza vitanda vya kujifungulia mahospitalini, na thirdparty yeyote akayekuwa na madai atayapeleka serikalini na atalipwa na serikali kupitisha shirika la bima la taifaTanzania ni nchi nzuri sana kuwekeza katika biashara ya Bima. Kwasababu huwa hatufuatilii kabisa haya masuala tunajilipiaga tu kwakuwa ni lazima. Yaani hata kama mtu gari lako likigongwa mnapatana na aliyekugonga anatengeneza mwenyewe wakati amekata bima. Yaani makampuni yanijipigia hela tu, wanaofuatiliaga labda ni wale waliokata comprehensive tu ambao sio wengi.
Hakuna aliyebisha juu ya alilosema, ila tunachopendekeza ni kwamba kodi ya ‘Third party’ tunayoshurutishwa kulipa na polisi ipelekwe serikalini ili ikasadie walau kuongeza vitanda vya kujifungulia mahospitalini. Na madai yote ya ‘third party’ yatalipwa na serikali kupitia shirika la bima la taifa.Sawa
Nani kasema biashara ya bima Ina faida kubwa hivyo? Unajua risk ilivyokubwa kwa hizo kampuni, kasome TIRA report ndio utaona kwamba faida sio kubwa kama unavyodhani unless Una mtaji mkubwa sana wa kuinsure multiple enterprises and assets sio hizi za motor tu!!Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na ukitoa gharama za uendeshaji utaona inabaki kama trillion 3 hivi.
Sasa najiuliza, hii pesa tunayolazimishwa na matrafiki police huku barabarani kwamba ni lazima tulipe, inaenda serikalini na makampuni kubaki na comission tu au yote inaenda kwa haya makampuni ya Bima?!
==========================
Sasa ninachopendekeza ni hiki, bima zote za third party zilipwe serikalini kupitia wakala wa bima wa taifa, na malipo yatafanywa na wakala huyo kwa hao third party. Hayo matrillion yakaboreshe huduma za elimu, afya na miundombinu. Ifike mahala tuache kukopa wakati matrilioni yanabebwa na hawa wenye makampuni ya bima tena ni wageni, wanaenda kuwekeza kwao huko. Pendekezo ni hilo, sheria husika zirekebishwe ku-accomodate mtazamo huu mpya, na radical kabisa!
Mkuu hoja Yako kama sijaielewa hivi.Exactly, hakuna third party anaeweza kupambana mahakamani na haya makampuni akashinda, watu humalozana wenyewe kwa wenyewe tu, ukizingatia kulipa ni lazima; sasa tunapendekeza hii kodi ya ‘third party’ ifikishwe serikalini ili ikasaidie kuongeza vitanda vya kujifungulia mahospitalini, na thirdparty yeyote akayekuwa na madai atayapeleka serikalini na atalipwa na serikali kupitisha shirika la bima la taifa
Either hujasoma nilichoandika au una mtindio wa ubongo; tunachosema ni kwamba Bima zote za nyumba, afya nk. ambazo ni za hiari ziendelee tu kama kawaida kwa hayo makampuni ya bima, maana mtu hulazimisjwi na polisi bali ni uamuzi wako mwenyewe, hivyo hizo hazina shida yoyote. Tunachozungumzia hapa ni hii kodi ya magari ya ‘third party’ ambayo tunashurutishwa na mapolisi barabarani tulipe, na kiwango cha hii kodi ni fixed (120,000/=), kwamba tutake tusitake, tupende au tusipende, ni lazima tulipe! Kwakuwa hakuna biashara ya kulazimishana (forced purchase) Hii ndio tunazungumzia hapa. Na tuchopendekeza ni kwamba kodi hii ya lazima ipelekwe serkalini ili walau ikaongeze vitanda vya kujifungulia mahospitalini. Na third party yeyote (Kama atakuwepo) atapeleka madai seriakalino na atalipwa na serikali kupitia NIC. Na just to tip you, sera imeshaanza kuandaliwa, kwahiyo subiri hapo hapo.Nani kasema biashara ya bima Ina faida kubwa hivyo? Unajua risk ilivyokubwa kwa hizo kampuni, kasome TIRA report ndio utaona kwamba faida sio kubwa kama unavyodhani unless Una mtaji mkubwa sana wa kuinsure multiple enterprises and assets sio hizi za motor tu!!
Alafu JPM alitaka kutumia hii approach Ili NIC iwe inatumika kuliko bima za private sector ila hakujua ndio alikua anaizila hivo financial sector maana wingi wa ushindani ndio Unaleta ufanisi ila ikibako hiyo NIC utendaji unaporomoka maana wao hawatafuti faida Wana mishahara with or without mauzo.
Kingine Kwanini private sector ndio wanaonekana wezi? Nani kasema bima zote zikiwa zinapitia NIC basi ndio kuna malaika huko? Hivi unaamini taasisi ya serikali haina ufisadi? Trust me utasikia Kila siku majengo ya waheshimiwa "yameungua" na watalipwa mara 20 ya premium zao!!
Tuache kucheza na uchumi linapokuja suala la kuingilia pirvate sector. Maadam washindani ni wengi ni jukumu la mteja kuamua nini anataka na kwa gharama gani
1.) Sijasema watu hawadai thirdparty, tunachosema ni kwamba, asilimia kubwa sana ya wenye magari wanapomgonga au ukasabisha madhara kwa ‘mtu wa tatu’, hiwa wanaamua tu kumalizana wenyewe ‘On good terms’; ni kwanini hali ipo hivi!? Hii ni kwa sababu, kama msipomalizana basi itabidi traffic police aandae mchoro wa tukio na kesi ianze na ipelekwe mahakamani, wewe ilukiyefanya uzembe (iwe makusudi au bahati mbay) ni lazima utaadhibiwa lwa mujibu wa sheria, huwezi ukawa unagonga tu taa za barabarani eti kisa umekata third party ambayo itakuwa inakulipia tu uzembe wako without any consequences, no way, hivyo unaweza kwenda jela hata wiki 2 ili ushike adabu. Sasa nani yupo tayari kwenda mahakamani na kisha gerezani? Hivyo wengi huamua kukimaliza kwa kulipa wenyewe,m; ila kwa wale ambao hawana iwezo wa kulipa, then aliyesababishiwa madhara (thirdparty) atalazimika kwenda kwa insurer ili afidiwe, ila ni very few case hufikianhatua hii.Mkuu hoja Yako kama sijaielewa hivi.
1. Kama watu hawadai 3rd party kwanini unaamini ikiwa serikalini ndio watapeleka claims?
2. Unasema hakuna mwenye uwezo wa kuwapeleka Agents/Brokers mahakamani, je utaweza kupeleka NIC mahakamani na ukaishinda??
3. Unaposema ilipwe serikalini, kama Kodi au claim hazikusanywi je ni udhaifu wa Agents/Brokers/companies/Bancassurance au ni udhaifu wa serikali/TRA? Mbona kuna taasisi za serikali hata Bill ya TANESCO au Dawasco hawajalipa kwa miaka zaidi ya 10!! Why NIC ndio unaona watakua compliant zaidi kuliko private entities!!
4. Makampuni yanalipa Kodi kibao tu ikiwemo corporate tax, income tax kwa waajiriwa wake, Capital gain kama wanauza hisa kwa investors wengine n.k why ionekane kama hawachangii kwenye kununua vitanda vya serikali?
Nachoweza kusema Elimu ya bima ni ndogo kwa raia hata hiyo ya mahari watu wanalipa sababu ni compulsory ila ukienda majumbani ni ngumu mtu kuweka cover kwa masuala ya moto/wizi. Hata mabasi tu tukipata ajali hatujawahi weka madai Ili tulipwe compensation ya matibabu!! Ila kuweka lawama kwa makampuni wakati TRA, Mahakama, au Raia tumelala sidhani kama ni suluhu
Ni sawa, hatajubisha juu ya hayo. ila tunachosema ni kwamba, kodi hii ya ‘third party’ iwasilishwe serikalini ili walau ikaongeze vitanda vya kujifungulia, regardless; na ‘third party’ yeyote mwenye madai atayapeleka seriaklini na kulipwa kupitia shirika la bima taifa.Hizi akili za kimaskini kuona watu wanapata sana anyway serikali kushindwa kuboresha miundombinu ni uzembe wao tatizo sio pesa bali ni watendaji wabovu, serikali ina kampuni yake ya Bima ni wewe kuchagua kampuni gani sera zake zimekuvutia ufanye nayo biashara
Ndio maana nikasema hoja Yako siielewi, Third party sio "Kodi" mkuu ni bidhaa kama zingine na hakuna mahala umelazimishwa kuinunua kwa wakala au NIC au private company kama Jubilee n.k ila uhuru ni wako uinunue wapi.Either hujasoma nilichoandika au una mtindio wa ubongo; tunachosema ni kwamba Bima zote za nyumba, afya nk. ambazo ni za hiari ziendelee tu kama kawaida kwa hayo makampuni ya bima, maana mtu hulazimisjwi na polisi bali ni uamuzi wako mwenyewe, hivyo hizo hazina shida yoyote. Tunachozungumzia hapa ni hii kodi ya magari ya ‘third party’ ambayo tunashurutishwa na mapolisi barabarani tulipe, na kiwango cha hii kodi ni fixed (120,000/=), kwamba tutake tusitake, tupende au tusipende, ni lazima tulipe! Kwakuwa hakuna biashara ya kulazimishana (forced purchase) Hii ndio tunazungumzia hapa. Na tuchopendekeza ni kwamba kodi hii ya lazima ipelekwe serkalini ili walau ikaongeze vitanda vya kujifungulia mahospitalini. Na third party yeyote (Kama atakuwepo) atapeleka madai seriakalino na atalipwa na serikali kupitia NIC. Na just to tip you, sera imeshaanza kuandaliwa, kwahiyo subiri hapo hapo.
1.) Hiki mnachokiita bima ya ‘Third party’ ni kodi na inapaswa kufikishwa serikalini, sijasema tunalazimishwa wapi pa kuilipa kodi hii, bali tunachosema ni kwamba tunalazimishwa kuilipa, regardless tunailipia kwa wakala yupi;, kwahiyo kwanza ni lazima, pili kiwango chake ni fixed (120,000/=), hata uende kwa wakala gani, kodi hii ya ‘third party’ ni 120,000/=, lia wee, gala gala wee, ila hii 120,000/= ni lazima uilipe, kwahiyo hakuna kitu kama ushindani kwenye kitu ambacho kina fixed price, hence forth hii ni kodi iliyofichwa kwa jina ‘bima’. Ila makampuni ya bima yana uhuru wa kuendelea kushindana kwa haki kwenye bima zingine ambazo sio za kulazimishwa na polisi, mfano bima comprehnsive za magari, bima za nyumba, za afya nk, ila kwa hii compulsory ‘taxation’ ifikishwe serikalini, period!Ndio maana nikasema hoja Yako siielewi, Third party sio "Kodi" mkuu ni bidhaa kama zingine na hakuna mahala umelazimishwa kuinunua kwa wakala au NIC au private company kama Jubilee n.k ila uhuru ni wako uinunue wapi.
Ni kama DSTV tu Ina mawakala wakiuza ving'amuzi pesa itapelekwa tu ofisi za DSTV then wao watapewa pesa Yao. So hata mawakala wa bima say NIC au Jubilee nao wakipokea pesa huwa wanaiwasilisha kwa kampuni husika.
Kumbuka Kila kampuni/Agency ya Bima Ina deposit kwenye akaunti maalum ambapo ukitokea umekimbia na Hela ya kampuni au claim ya mtu basi wao wanachota tu kwenye Ile akaunti iliopo benki ya kiserikali possibly BOT.
Industry ya bima ni liberalized hivyo huwezi sema kampuni iwe NIC peke yake hiyo itakua Monopoly ambayo ni kinyume na sheria ya ushindani maana pia itamnyima haki mteja ya kuchagua anachopenda sokoni.
TLDR; Third Party sio Kodi ni bidhaa ya bima na malipo yakipitia kwa wakala huwa yanafikishwa kwa kampuni husika whether ni NIC or Jubilee n.k
1. Mkuu kuna kitu naona hatuelewani, ulazima wa kuilipa haimaanishi ni Kodi au stahiki ya serikali kumbuka Kodi inakatwa kwenye faida sio mapato. Sasa hiyo Premium ya third party ni "income" ndio maana kuna commission ya agent. Ni sawa tu na fire extinguisher ni lazima uwe nayo ila ulazima huo haimaanishi sasa fire extinguisher tuzinunue serikalini.1.) Hiki mnachokiita bima ya ‘Third party’ ni kodi na inapaswa kufikishwa serikalini, sijasema tunalazimishwa wapi pa kuilipa kodi hii, bali tunachosema ni kwamba tunalazimishwa kuilipa, regardless tunailipia kwa wakala yupi;, kwahiyo kwanza ni lazima, pili kiwango chake ni fixed (120,000/=), hata uende kwa wakala gani, kodi hii ya ‘third party’ ni 120,000/=, lia wee, gala gala wee, ila hii 120,000/= ni lazima uilipe, kwahiyo hakuna kitu kama ushindani kwenye kitu ambacho kina fixed price, hence forth hii ni kodi iliyofichwa kwa jina ‘bima’. Ila makampuni ya bima yana uhuru wa kuendelea kushindana kwa haki kwenye bima zingine ambazo sio za kulazimishwa na polisi, mfano bima comprehnsive za magari, bima za nyumba, za afya nk, ila kwa hii compulsory ‘taxation’ ifikishwe serikalini, period!
2.) Hatujabisha kwamba hii pesa mawakala wataifikisha kwa makampuni ya bima, ila tunachosema ni kwamba hawa mawakala wanaiwasilisha kwa mtu asiye sahihi, hao mawakala wanatakiwa wawasilishe hizo pesa serikalini, maana ni pesa ya serikali iliyolipwa na wananchi tena kwa lazima, kumbuka , ni kwa lazima!! Na endapo kuna ‘third party claim’ basi italipwa na serikali kupitia shirika la bima la taifa, legeza ubongo walau kidogo, itakusaidia sana.
3.)Hapo kwenye kukimbia na pesa ya mtu kwa upande wa serikali halitakuwepo, maana serikali ni self guaranteed entity, hivi serikali inaweza kukimbia? BOT ni ya serikali, hivyo its even better, maana ni ‘a self guaranteed entity’, hivyo ‘third party’ claims zitalipwa endapo zita arise.
4.) Rejea pointa na 1 hadi 3
Hii kodi ni stahiki ya serikali, kama huamin, usilipe hii kodi halfu ingiza gari lako barabarani ndio utaelewa.
1.) Na ndio maana nikasema legeza ubongo, itakusaidia. Hatukatai kwamba hiyo ndio mifumo na utaratibu iliyopo, ambayo sasa tunapendekeza ibadilike kisheria, kwamba sheria iboreshwe ili ku-accomdate mawazo mapya, this being said; unapolipa pesa dukani kwa ajili ya ‘fire extinguisher’ maana yake unapewa ‘fire extinguisher’ unaondoka nayo, na hata ukitaka unaweza ukamuuzia mtu mwingine kama bado hauja expire na ukarudisha pesa yako ukitaka.1. Mkuu kuna kitu naona hatuelewani, ulazima wa kuilipa haimaanishi ni Kodi au stahiki ya serikali kumbuka Kodi inakatwa kwenye faida sio mapato. Sasa hiyo Premium ya third party ni "income" ndio maana kuna commission ya agent. Ni sawa tu na fire extinguisher ni lazima uwe nayo ila ulazima huo haimaanishi sasa fire extinguisher tuzinunue serikalini.
NB: ushindani haupo kwenye Bei tu mkuu, mfano KCB wanatoa mkopo wa bima yaani mfano hiyo 3rd party wanakulipia yote alafu wewe unapeleka labda elfu 12 Kila mwezi mpaka mwaka unaisha ushailipa kidogo kidogo. So unaweza ona competition Bado ipo ingawa Bei ni Ile Ile. Ukienda NMB nao utasikia lipia bima kidogo kidogo yaani muamala mpaka wa Buku unapokelewa!! So compeititon is still possible kwa product zenye fixed price.
2. Hawafikishi sehemu sahihi kivipi? Kampuni ya Bima inachukua risk so unakuta imewekeza kukulipia ajali ikitokea hivyo mteja hachukui hiyo 120k Bali italingana na ajali husika sasa hiyo risk ya Kampuni ya Bima ndio Ina charge premium kama mchango wa mteja how comes hiyo 120k ni ya serikali?? Embu ondoa kwanza wazo la Kodi hii ni mchango tu kama wa Upatu au Kikoba ambacho kampuni ya Bima ndio inachanga kwa wateja Ili mmoja wenu anapoleta claim basi atalipiwa hizo gharama ambazo mara nyingi huzidi hiyo 120k so Ile sio TAX ni CONTRIBUTION/PREMIUM.
3. Ndio maana nimekwambia kwa miongozo wa TIRA Kila kampuni ya Bima au Agency Inaweka dhamana BOT ya pesa Fulani ambayo italingana na mtaji hivi. So ikitokea mchango uliopitia kwa wakala haujafika NIC au Jubilee the TIRA itaenda kunyofoa kwenye dhamana Yako hivyo si kweli kuwa michango haifiki mahali sahihi.
4. Hakuna Kodi hapo huo ni mchango tu kama wa UPATU, gharama ni ya Kampuni ya Bima ambayo ita convert hiyo 120k ifike hata million 2 ikulipie ukipata claim.
TLDR; Ulazima wa kulipa 3rd party hakuifanyi kuwa Kodi maana Ile ni revenue tu. Kodi hukatwa kwenye benefit sio cost!!