Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

endelea kutuletea matukio live
 
Mkuu hicho cheo cha parole si tulikubaliana apewe mzee wa kilalacha ?.
 
Tanzania Ina watu wa ovyo Sana mmetawaliwa na roho mbaya roho za chuki kuombeana mabaya na ndio maana hamuendelei nyerere alikosea Sana kuwanyima elimu

Nawaza kwani Kama wewe ni ccm
Inabidi tumuombee sabaya aachiwe ,tuwe na tabia ya kuombeana mema jamani,nakuunga mkono na sabaya aachiwe huru Kama Mbowe
 
Hata ukiita majina yepi,bado weye ni kiumbe ambacho hakitumii akili vizuri kuelewa mazingira yako.Umekaa kujinunisha tu kama mdangaji wa uswahilini kaachwa na hawara yake.Tuliza kiuno kijana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama wewe ndio umenuna manka?

Hili povu lote vipi aisee?

Kwani mwamba hajawanunulia mbege hapo machame?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Lumumba wako busy kutunga propaganda wanaweza kusema hizo picha zakutengeneza, au hao waliojitokeza sio watu ni majani ya miti.

Calculation mbovu za CCM zimeipandisha sana Chadema sio Hai tu, bali Tanzania yote kwa ujumla wake.
Very wrong calculations....
 
Ila katika viumbe punguani ni weye na kiji-kundi cha wenzio wajingawajinga fulani hivi pro-CCM.Nikiuliza wanaJF humu waorodheshe wawashwa viuno wa marehemu huwezi kukosekana.Ni ng'ombe usiye na mkia wa mbele wala nyuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama wewe ndio umenuna manka?

Hili povu lote vipi aisee?

Kwani mwamba hajawanunulia mbege hapo machame?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…