Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

Pole sana naona unateseka sana na habari za Mwamba Mbowe
Tatizo mnaongea bila facts,watu million moja mnawajua au mnawasikia arusha jiji iko round laki 5.9 by approximate,huu ni ujinga wa kisiasa
 
Tatizo mnaongea bila facts,watu million moja mnawajua au mnawasikia arusha jiji iko round laki 5.9 by approximate,huu ni ujinga wa kisiasa
We kwa nn unaumia tukisema watu mil 1? Kajinyonge kama hautaki wawe mil 1.
 
M.1 ni idadi ya watu kwenye jiji la Mwanza
Uwanja wa B Mkapa unaweza kuchukua watu elfu 60
Point ni kwamba mkusanyiko wa watu M.1 sio wa mchezo mchezo we jamaa, watu M.1 utawaweka wapi at a time?! Ina maana watasambaa mji wote hadi nje ya mji huko

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kajiue kabisa kama hautaki. Ni ya pimbi wa Lumumba
Hiyo namba mliyosema ni sahihi? Au ni double standard, sometimes muwe mnakuja na real logic,sio unakuja na mahaba yako kwenye jukwaa,hayana facts.
 
===
View attachment 2156574
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo.
Code:
Chanzo:
https://twitter.com/ChademaTz/status/1505127335019917312
===
View attachment 2156889

View attachment 2156891

View attachment 2156892
===
View attachment 2156566
"Mwenyekiti Mhe Freeman Mbowe akiteta jambo na mwenyekiti wa wilaya ya Moshi Mjini Raymond Mboya muda mfupi baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Mwenyekiti leo Machi 19, 2022 anaelekea nyumbani kwake wilaya ya Hai, tangu kufutiwa mashtaka ya Ugaidi."
===
View attachment 2156953
"nimetoka gerezani kwa sababu imethibitika sala za binadamu kwa Mungu zina nguvu kuliko majeshi ya Polisi." - Mh. Freeman Mbowe​
===
===
===
View attachment 2156663

===
View attachment 2156503

View attachment 2156504
Umeharibu kwenye "heading" watu milioni 1 kwenye mapokezi !!

Rekebisha (edit) bwasheeee!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo hivyo unavyodhani.Kuna kipindi weye na mazuzu wenzio akina nani sijui,huwa mnachotoa kama maoni JF mnajidhalilisha.
KUMBUKA.
Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tunayoiekezea, Tanzania.Ninyi huwa,kwa mawazo yenu,mnadhani Tanzania ni ninyi pekee.Muwe mnatoa mawazo ya kujenga na si kufarakanisha.Mjirekebishe.
Upumbavu ni upi mkuu?

Tatizo lako hutaki kusikia maoni tofauti na unachowaza wewe!

Sasa penda kusikia hata usichopenda kusikia

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
1647704697042.jpeg
 
Tanzania Ina watu wa ovyo Sana mmetawaliwa na roho mbaya roho za chuki kuombeana mabaya na ndio maana hamuendelei nyerere alikosea Sana kuwanyima elimu

Nawaza kwani Kama wewe ni ccm
Mkuu, Nyerere yupi aliyenyima watu elimu?
 
Umekosea sana kwa nyerere tulisoma bure na tulikuwa tunapewa kila kitu cha kusomea bure, hatununui kitu chochote zaidi ya uniform tu !! Daftari likijaa unapewa jingine hapo hapo, kama umepangiwa shule mkoa mwingine popote pale unapewa warranty ya kusafiria mpaka shuleni kwako na mkifunga shule ni vivyo hivyo, na wanafunzi walikuwa na akili na nidhamu ya hali ya juu !!! Acha kabisa !! Kizazi kile kilikuwa ni kizazi cha dhahabu !! Na ndicho kilicholeta Uhuru wa nchi hii !! Hizi chuki na roho mbaya mjilaumu wenyewe kizazi kipya !!
Tanzania Ina watu wa ovyo Sana mmetawaliwa na roho mbaya roho za chuki kuombeana mabaya na ndio maana hamuendelei nyerere alikosea Sana kuwanyima elimu

Nawaza kwani Kama wewe ni ccm
 
Back
Top Bottom