Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

CDM ukweli Ina wamama na mabinti wazuri!!
 
Nimefurahi sana kwa kuona jinsi wanawake wa CHADEMA walivyopendezesha siku ya wanawake duniani.

Hawa wanawake ndio wamebeba ndoto za kuwakwamua wanawake wote wa Tanzania kila pembe ya nchi hii.

Ukweli usiosemwa, ni kuwa Wanawake wa CHADEMA ni wanawake majasiri waliopindukia katika kutetea maslahi ya Mtanzania.

MUNGU ibariki CHADEMA.
MUNGU ibariki BAWACHA.
MUNGU ibariki Tanzania.
 
napata shaka na siasa za bawacha

niliwasikiliza kwa kweli malalamiko yao na mifano yao ni hovyo sana ni kama hawajui nini lengo lao kwa taifa wao wanacho waza ni machafuko tuh
 
Hivi Hawa wote mbowe si kishapitia kweli. Kama wema tu alijiunga wiki moja tu akapitiwa sembuse hawa
Sisi wengine tuna lodges kadhaa hapo Dodoma.
Tupo tangu miaka ya "Kizota".
Tuna mpaka "vipande vya picha mjongeo" vya vinavyofanyika wakati wa mikutano ya chama cha mambuzi.

Unatakaa tuweke hadharani ujinga wa viongozi wa chama cha mambuzi!!??
 
Wale Covid 19 naona ni mwemdo wa sura za unyonge - Je wabakie CCM ama waende kwa Zitto.

Hongera Bawacha - nyie ndiyo wawakikishi halisi wa changamoto za wanawake wote wa Tanzania.
 
Sisi wengine tuna lodges kadhaa hapo Dodoma.
Tupo tangu miaka ya "Kizota".
Tuna mpaka "vipande vya picha mjongeo" vya vinavyofanyika wakati wa mikutano ya chama cha mambuzi.

Unatakaa tuweke hadharani ujinga wa viongozi wa chama cha mambuzi!!??
Ficha faragha zao Mkuu. Waonee huruma
 
usinge mposti ungeipata🐒
 
Hivi kundi la wale CWT limefanyia Hafla wapi?

Au wamepoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…