wanajitahidi sana kupindisha matokeo lakini wanashindwa kulifikia gape ambalo LOWASA AMEMUACHA MAGUFULI, SASA TUENDELEE KUVUTA SUBIRA.
Ila mimi naamini Mungu ataudhihilishia ulimwengu kuwa Tanzania ni ya Watanzania na Sio ya CCM, kwasababu soon LOWASA atatangazwa kuwa Raisi wa Tanzania na Jeuri yao kuishia hapo, mimi naamini kabisa, Tulianza na Mungu na Sasa Mungu ndiye anaisimamia haki ya Watanzania, huku wakijaribu kuzuia hila zozote zinazo weza kufanywa na CCM katika kura za URAISI.
tuute Subira na sasa Maajabu yatafanyika, tusivunje amani ili tupate Tuzo ya AMani, kwani Dunia Nzima inatutazama na inajua kuwa CCM imepigwa chini kwa kura nyingi sana, Umoja wa Mataifa wanajua, DW wanajua BBC wanajua na vyombo vya habari vingine na hata wenyewe CCM wanajua mwaka huu Maajabu yatatendeka.