Matukio ya kufurahisha ya Walevi wa Pombe!

mwanaume halisi anakunywa gongo na zinazofanana na hizo kama unakunywa castle lite wewe ni mdada anza kupaka wanja
kama ni mwanamke unakunywa bidhaa za aina ya gongo hongera ushakuwa baba sasa
Hahahahahahah.....
 
Okota hii!! Pombe haiufnyi ubongo upoteze kumbukumbu ila inaufanya ubongo ushindwe kutengeneza kumbukumbu mpya.. Na ndio maana mlevi matukio yote kabla hajawa bwi bwax anakumbuka yote ila baada ya kuwa anatema mate kulia na kufukia kushoto Hakumbuki matukio yake mapya..


Sisi wa soda, wajaza nzi, day care hatuna cha kuchangia.
 
Kwa maneno ila shughuli aliipata maana alinizingua uwanja wa home. Alikula kichapo na nje akatolewa. Hapa katoka nipigia simu nimemwambia namba yangu aione kama kituo cha polisi
Wewe ulimchenjia tu kwa akili zako sio kwa pombe, maana uzuri wa vituko vya pombe ikiisha kichwani na uliyoyafanya nayo yanaishia hapo hapo
 
huwaga wanasema ukilewa lazima uongee ukweli lakini hiyo kitu kwangu mimi iko tofauti yani, nikilewe nakuaga muongo vibaya mnoooooo, Pia shule yenyewe ni ya hapa na pale lakin zile alc 36% za miwa zinanifanyaga niwe msomi kishenzi sana
Hahahahahah......
 
Khaaaaa wewe ni ke
 
Unakuta mtu anasema ukweli lakini sisi tunasema hiyo ni pombe tu maaajabu
 
ha ha ha ha! ni mambo ya aibu sana mkuu, licha ya kupigwa dushe ndani ya gari, kufika home nilifunguliwa na mama, c nikaanza mlazmisha jamaa twende tukaendeleze game ndani huku mama kacmama mlangoni ananisubiri niingie ndani ili afunge mlango.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…