bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Hahahahahahah.....mwanaume halisi anakunywa gongo na zinazofanana na hizo kama unakunywa castle lite wewe ni mdada anza kupaka wanja
kama ni mwanamke unakunywa bidhaa za aina ya gongo hongera ushakuwa baba sasa