Acha pombeeewKuna siku naelekea mkoani ndani ya bus nimebebe tukopo twangu twa castle lager aaah mi kakiisha haka nafungua,fungua na wewe asee katikati ya safari tumbo acha linisumbue huku na kule nikamtapikia jirani yangu mbaya alikua kijeba asee ule ugomvi mule ndani ilibidi nishukie njiani !
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]balaaaaKesho ni furaha day... hebu tazama huyu mzee...Pombe inavitukoView attachment 785250
Sent using Jamii Forums mobile app
Dinazarde & Mama Sabrina could be the same person!! You never knowDinazarde - G
Mama Sabrina - G
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] huyo G sio mtu mzuri kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] mie sio kabisa, [emoji239] [emoji239]Balaaaaa wewe unakunywaaa?
Usiniambie unaanzaga kushusha kimalikia
Sent using Jamii Forums mobile app
ninaenda kwenye jumuia tu hubby
Huwa unacheza mechi au nini???Mimi naliaga na kucheza sana.
Angalia unaowatongoza,wasije wakawa ni wale wanaokuhudumia kinywaji...!!!!
Basi nitamtafuta cha mdeko anifundishe. Nimeshajua pa kumpataSoda sio nzuri dada. inaongeza uzito faster mnoooo
Mihangaiko tu ya kutwa nzima
Bby nitakutafuta kwa ajili ya tuisheni