Matukio ya kusikitisha katika Uongozi wa Kikwete {2010 - 2015}

Matukio ya kusikitisha katika Uongozi wa Kikwete {2010 - 2015}

bahati mbaya zaidi wewe siyo rais na ukoo wenu wote hamna atakayekuwa rais pole.
 
bahati mbaya zaidi wewe siyo rais na ukoo wenu wote hamna atakayekuwa rais pole.

sure mkuu. kuna watu wanaota ndoto za mchana. nilicheka sana niliposikia hata dr slaa anajiita ni rais, eti kapigiwa mizinga 21 zambia. nilicheka pia kusikia josephine mushumbusi anajiita first lady ingawa bado ni mchumba. anadhani u first lady unapatikana kwa kupora waume za watu
 
Kumbe bora hata haukuwa rais maana nilitegemea ungesema ungekuwa wewe ni rais kikwete ungefanya nini kuzikabali changamoto unazodai zimemshinda kumbe na wewe ungeendelea kutubebesha mzigo wa kugharamia uchaguzi mkuu kabla ya muda wake na gharama za kuhudumia viongozi wengi wastaafu.

ni bora kuingia gharama sasa ya uchaguzi kuliko gharama tutayokuja kuingia huko mbeleni kurekebisha matokeo ya uongozi unaopwaya
 
NINGEKUWA RAIS KIKWETE NINGEJIUZULU
Tangia raisi kikwete ameingia madarakani amekutwa na misuksuko mingi ambayo kiutendaji imemuonyesha kiundani namna alivyodhaifu kushughulikia matatizo yanayolikumba taifa
1.ufisadi . serikali yake ina kashfa nyingi za ufisadi ameshindwa kuzishughulikia. Kumbuka kwenye kamati kuu ya ccm MH LOWASA alipoambiwa ajivue gamba akasema aanze mwenyekiti kwani yeye anajua issue yote ya Richmond na dowans hivo aanze yeye KIKWETE kwa woga wa kumface lowasa wakaipotezea issue ya kuvua gamba.
2. Tanzania tangia ipate uhuru haijawahi wananchi wake kususia sensa ila kwenye utawala wa huyu jamaa kila kitu kikaenda shaghalabaghala
3.ameshindwa kuwachukulia hatua kwa kuwalazimisha kujiuzulu mawaziri waliopwaya kwenye wizara zao mfano mdogo niMH MAGHEMBE NA MH KAWAMBWA
4 Ahadi alizotoa mwaka 2010 wakati wa uchaguzi hata asilmilia 40 hajafikia
5. kushindwa kumstaafisha mkuu wa jeshi la polisi kwa kushindwa kulinda raia na mali zao angalia issue ya ulimboka na kibanda ,milipuko ya mabomu,kuuwawa kwa viongozi wa dini
6. maisha bora aliyoahidi ametupa kinyume chake elimu mbaya, afya kubovu, maji tabu, mfumuko wa bei, nauli kupanda, umeme juu naona wananchi wako wamefurahi kwa kuwapa in reverse order.
NINGEKUWA MM NI MH RAISI KIKWETE NINGEJIUZULU URAISI KULINDA HESHIMA YANGU!

Ni kama ungekuwa Rais! lakini Mungu hakupanga hivyo! Uongozi hauji hivi hivi ni mapenzi ya Mungu Kikwete kuwa Rais na hata Maaskofu wetu walithibitisha hilo kwa kumuita Kikwete chaguo la Mungu! sasa wewe unataka kupinga mapenzi ya Bwana?
Kwa maoni yangu Rais Kikwete ni mchapa kazi! mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! ahadi nyingi katekeleza ila kikwazo kikubwa ni unafiki wa baadhi ya watendaji wake wanaofanya nae kazi mchana lakini usiku wanateta na Chadema!
Tatizo jingine ni hiki chama cha vurugu na maandamano kinachafua sura ya utulivu wa nchi kwa kulea viongozi wenye ndoto za kuteka na kutesa!
EE Mwenye ezi Mungu tulinde na maadui wa nchi hii na umlinde Rais wetu aamin!
 
Nawe unajiita msomi? Pumbavu, unadhalilika kwa 7000 halafu bado unajiita msomi.

me ni msomi tena nilyeelimika na ambaye nasimama kwa miguu yangu kuendesha maisha yangu. kudhani kuwa ubunge ni ajira ni kufilisika kwa mawazo. kazi gani qualifications zake ni kujua kusoma na kuandika tu? hivi mnyika naye atasema kuwa ana kazi?
 
Ni kama ungekuwa Rais! lakini Mungu hakupanga hivyo! Uongozi hauji hivi hivi ni mapenzi ya Mungu Kikwete kuwa Rais na hata Maaskofu wetu walithibitisha hilo kwa kumuita Kikwete chaguo la Mungu! sasa wewe unataka kupinga mapenzi ya Bwana?
Kwa maoni yangu Rais Kikwete ni mchapa kazi! mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! ahadi nyingi katekeleza ila kikwazo kikubwa ni unafiki wa baadhi ya watendaji wake wanaofanya nae kazi mchana lakini usiku wanateta na Chadema!
Tatizo jingine ni hiki chama cha vurugu na maandamano kinachafua sura ya utulivu wa nchi kwa kulea viongozi wenye ndoto za kuteka na kutesa!
EE Mwenye ezi Mungu tulinde na maadui wa nchi hii na umlinde Rais wetu aamin!

hongera mkuu kwa kuwapasha
 
ni bora kuingia gharama sasa ya uchaguzi kuliko gharama tutayokuja kuingia huko mbeleni kurekebisha matokeo ya uongozi unaopwaya

gharama ya kuendesha mchakato wa katiba tu mnailalamikia. sembuse uchaguzi? chadema dhaifu sana
 
Nawe unajiita msomi? Pumbavu, unadhalilika kwa 7000 halafu bado unajiita msomi.

matusi yote haya hayatakusaidia kama unataka ajiuzulu ili yule mzee wenu agombee basi tena,na huyo unayezani atagombea tena urais sahau hatafika 2015 mtaipata tu.
 
ukulu ni mahala patakatifu siyo sehemu ya kupeleka kundi la wahuni kama hili la kwenu kwenye chama tu kila siku mnatafutana kuuwana how ikulu.
 
Hata ww ni mtu ndo maana unavuta pumzi ya bure. Ila kojoa kalale huna point.......

haya maneno umewaambia na kwenu,kama hujawaambia basi jitahidi kuwaambia ukifika kwenu.
 
Back
Top Bottom