Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
raisi co kuchekacheka:heh:unatakiwa uwe kauzu kwa mafisadi:A S 576:
uwezo wake mdogo hawezi kutoa leadership makin
acha ujinga ushavuta mshikoeeeeeeeeeebora anayecheka cheka kuliko anayejifanya ananuna kumbe mwovu kupindukia.
Nawe unajiita msomi? Pumbavu, unadhalilika kwa 7000 halafu bado unajiita msomi.siwezi kujilinganisha na mtu ambaye ameshindwa kielimu
bahati mbaya zaidi wewe siyo rais na ukoo wenu wote hamna atakayekuwa rais pole.
Ninaungana nawe kabisa yaani angechukua uamuzi wa kujiuzulu angeonekana mtu ktk watu.
Kumbe bora hata haukuwa rais maana nilitegemea ungesema ungekuwa wewe ni rais kikwete ungefanya nini kuzikabali changamoto unazodai zimemshinda kumbe na wewe ungeendelea kutubebesha mzigo wa kugharamia uchaguzi mkuu kabla ya muda wake na gharama za kuhudumia viongozi wengi wastaafu.
NINGEKUWA RAIS KIKWETE NINGEJIUZULU
Tangia raisi kikwete ameingia madarakani amekutwa na misuksuko mingi ambayo kiutendaji imemuonyesha kiundani namna alivyodhaifu kushughulikia matatizo yanayolikumba taifa
1.ufisadi . serikali yake ina kashfa nyingi za ufisadi ameshindwa kuzishughulikia. Kumbuka kwenye kamati kuu ya ccm MH LOWASA alipoambiwa ajivue gamba akasema aanze mwenyekiti kwani yeye anajua issue yote ya Richmond na dowans hivo aanze yeye KIKWETE kwa woga wa kumface lowasa wakaipotezea issue ya kuvua gamba.
2. Tanzania tangia ipate uhuru haijawahi wananchi wake kususia sensa ila kwenye utawala wa huyu jamaa kila kitu kikaenda shaghalabaghala
3.ameshindwa kuwachukulia hatua kwa kuwalazimisha kujiuzulu mawaziri waliopwaya kwenye wizara zao mfano mdogo niMH MAGHEMBE NA MH KAWAMBWA
4 Ahadi alizotoa mwaka 2010 wakati wa uchaguzi hata asilmilia 40 hajafikia
5. kushindwa kumstaafisha mkuu wa jeshi la polisi kwa kushindwa kulinda raia na mali zao angalia issue ya ulimboka na kibanda ,milipuko ya mabomu,kuuwawa kwa viongozi wa dini
6. maisha bora aliyoahidi ametupa kinyume chake elimu mbaya, afya kubovu, maji tabu, mfumuko wa bei, nauli kupanda, umeme juu naona wananchi wako wamefurahi kwa kuwapa in reverse order.
NINGEKUWA MM NI MH RAISI KIKWETE NINGEJIUZULU URAISI KULINDA HESHIMA YANGU!
Nawe unajiita msomi? Pumbavu, unadhalilika kwa 7000 halafu bado unajiita msomi.
Ni kama ungekuwa Rais! lakini Mungu hakupanga hivyo! Uongozi hauji hivi hivi ni mapenzi ya Mungu Kikwete kuwa Rais na hata Maaskofu wetu walithibitisha hilo kwa kumuita Kikwete chaguo la Mungu! sasa wewe unataka kupinga mapenzi ya Bwana?
Kwa maoni yangu Rais Kikwete ni mchapa kazi! mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! ahadi nyingi katekeleza ila kikwazo kikubwa ni unafiki wa baadhi ya watendaji wake wanaofanya nae kazi mchana lakini usiku wanateta na Chadema!
Tatizo jingine ni hiki chama cha vurugu na maandamano kinachafua sura ya utulivu wa nchi kwa kulea viongozi wenye ndoto za kuteka na kutesa!
EE Mwenye ezi Mungu tulinde na maadui wa nchi hii na umlinde Rais wetu aamin!
bahati mbaya zaidi wewe siyo rais na ukoo wenu wote hamna atakayekuwa rais pole.
ni bora kuingia gharama sasa ya uchaguzi kuliko gharama tutayokuja kuingia huko mbeleni kurekebisha matokeo ya uongozi unaopwaya
Nawe unajiita msomi? Pumbavu, unadhalilika kwa 7000 halafu bado unajiita msomi.
Ninaungana nawe kabisa yaani angechukua uamuzi wa kujiuzulu angeonekana mtu ktk watu.
acha matusi hayaendani nawewe aibuwajiuzuru kwanza watu waliotelekeza familia zao na kupora wake za watu pamoja na wale wanaopachika mimba zisizotarajiwa
mtaumia sana unachokiwaza hakipo manapanga vurugu,kuuwa watu mandamano ili ajiuzuru mmenoa.
Hata ww ni mtu ndo maana unavuta pumzi ya bure. Ila kojoa kalale huna point.......