Matukio ya kusikitisha katika Uongozi wa Kikwete {2010 - 2015}

Matukio ya kusikitisha katika Uongozi wa Kikwete {2010 - 2015}

Mbona alishaitwa na jopo la krimu ya taifa na wakamsihi aachie ngazi akakataa?
 
KABLA ya Yusuf Makamba kung’olewa ukatibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alikuwa na msemo wa kumsifia Rais Jakaya Kikwete akisema, “Kikwete ni mtaji wetu.”

Makamba ambaye baadaye aligeuzwa gamba la kwanza kuondolewa, alikuwa na maana kuwa Kikwete ni mtaji wa chama chake.

Lakini kwa maoni ya wengi sasa, Kikwete amegeuka mzigo mkubwa ndani ya chama na serikali, tofauti na majigambo ya awali ya Makamba na wenzake. Hata Ma
umeandika maelezo mengi lakini ni pumbazilezile
 
TETESI: Kanisa la TAG huko Jijini Tanga lachomwa moto.
 
Mwenye taarifa ya kanisa la TAG Tanga kuchomwa moto atujuze.
 
ajiuzuru mtuuuuuuuu,,,,ajiuzuru wapi....amalize tifu la udini ma hali ya hatari hii ndo ajiuzuru,,,nani ataiweza nchi ilivoanza kuwa viraka viraka hivi,me hata ukinilazimisha urais kwa sasa naenda mahakamani kuukataa...
 
Umeleta matukio vizuri sema umekosea kuyaleta the way yalivyotokea mfano Mwangosi kuuwawa ktk maandamano haramu ya cdm n.k
 
NINGEKUWA RAIS KIKWETE NINGEJIUZULU
Tangia raisi kikwete ameingia madarakani amekutwa na misuksuko mingi ambayo kiutendaji imemuonyesha kiundani namna alivyodhaifu kushughulikia matatizo yanayolikumba taifa
1.ufisadi . serikali yake ina kashfa nyingi za ufisadi ameshindwa kuzishughulikia. Kumbuka kwenye kamati kuu ya ccm MH LOWASA alipoambiwa ajivue gamba akasema aanze mwenyekiti kwani yeye anajua issue yote ya Richmond na dowans hivo aanze yeye KIKWETE kwa woga wa kumface lowasa wakaipotezea issue ya kuvua gamba.
2. Tanzania tangia ipate uhuru haijawahi wananchi wake kususia sensa ila kwenye utawala wa huyu jamaa kila kitu kikaenda shaghalabaghala
3.ameshindwa kuwachukulia hatua kwa kuwalazimisha kujiuzulu mawaziri waliopwaya kwenye wizara zao mfano mdogo niMH MAGHEMBE NA MH KAWAMBWA
4 Ahadi alizotoa mwaka 2010 wakati wa uchaguzi hata asilmilia 40 hajafikia
5. kushindwa kumstaafisha mkuu wa jeshi la polisi kwa kushindwa kulinda raia na mali zao angalia issue ya ulimboka na kibanda ,milipuko ya mabomu,kuuwawa kwa viongozi wa dini
6. maisha bora aliyoahidi ametupa kinyume chake elimu mbaya, afya kubovu, maji tabu, mfumuko wa bei, nauli kupanda, umeme juu naona wananchi wako wamefurahi kwa kuwapa in reverse order.
NINGEKUWA MM NI MH RAISI KIKWETE NINGEJIUZULU URAISI KULINDA HESHIMA YANGU!

Kwa kuwa wewe si Rais Kikwete, kuwa mpole endelea na shughuli zako.
 
Umeleta matukio vizuri sema umekosea kuyaleta the way yalivyotokea mfano Mwangosi kuuwawa ktk maandamano haramu ya cdm n.k

Nalifanyia uchunguzi,Nitarekebisha kulingana na ripoti nitakayo ipata hivi punde.
 
Back
Top Bottom