mkiishiwa hoja ndio lugha zenu hizi
mkuu matusi asili yao wala usishangae lakini yatawashuka tu na mwisho wao waja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkiishiwa hoja ndio lugha zenu hizi
Maganga njaa ya Mwigulu yamo mengi humu!
Mrs Mwingulu kazini.
wapi mkuu nijuzeMbona alishaitwa na jopo la krimu ya taifa na wakamsihi aachie ngazi akakataa?
KABLA ya Yusuf Makamba kungolewa ukatibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alikuwa na msemo wa kumsifia Rais Jakaya Kikwete akisema, Kikwete ni mtaji wetu.
Makamba ambaye baadaye aligeuzwa gamba la kwanza kuondolewa, alikuwa na maana kuwa Kikwete ni mtaji wa chama chake.
Lakini kwa maoni ya wengi sasa, Kikwete amegeuka mzigo mkubwa ndani ya chama na serikali, tofauti na majigambo ya awali ya Makamba na wenzake. Hata Ma
umeandika maelezo mengi lakini ni pumbazilezile
mkiishiwa hoja ndio lugha zenu hizi
mkuu matusi asili yao wala usishangae lakini yatawashuka tu na mwisho wao waja.
hii cha mtoto toa yote ya moyoni vinginevyo utachina tu na siku zako bado.
jk njoo ujibu hoja au ushaanza kusmile
NINGEKUWA RAIS KIKWETE NINGEJIUZULU
Tangia raisi kikwete ameingia madarakani amekutwa na misuksuko mingi ambayo kiutendaji imemuonyesha kiundani namna alivyodhaifu kushughulikia matatizo yanayolikumba taifa
1.ufisadi . serikali yake ina kashfa nyingi za ufisadi ameshindwa kuzishughulikia. Kumbuka kwenye kamati kuu ya ccm MH LOWASA alipoambiwa ajivue gamba akasema aanze mwenyekiti kwani yeye anajua issue yote ya Richmond na dowans hivo aanze yeye KIKWETE kwa woga wa kumface lowasa wakaipotezea issue ya kuvua gamba.
2. Tanzania tangia ipate uhuru haijawahi wananchi wake kususia sensa ila kwenye utawala wa huyu jamaa kila kitu kikaenda shaghalabaghala
3.ameshindwa kuwachukulia hatua kwa kuwalazimisha kujiuzulu mawaziri waliopwaya kwenye wizara zao mfano mdogo niMH MAGHEMBE NA MH KAWAMBWA
4 Ahadi alizotoa mwaka 2010 wakati wa uchaguzi hata asilmilia 40 hajafikia
5. kushindwa kumstaafisha mkuu wa jeshi la polisi kwa kushindwa kulinda raia na mali zao angalia issue ya ulimboka na kibanda ,milipuko ya mabomu,kuuwawa kwa viongozi wa dini
6. maisha bora aliyoahidi ametupa kinyume chake elimu mbaya, afya kubovu, maji tabu, mfumuko wa bei, nauli kupanda, umeme juu naona wananchi wako wamefurahi kwa kuwapa in reverse order.
NINGEKUWA MM NI MH RAISI KIKWETE NINGEJIUZULU URAISI KULINDA HESHIMA YANGU!
Umeleta matukio vizuri sema umekosea kuyaleta the way yalivyotokea mfano Mwangosi kuuwawa ktk maandamano haramu ya cdm n.k
Wakuwang'oa kucha na meno nini manake kikosi mnacho kimiliki ni hatari sana