Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Yaani hujakumbwa na mikasa au hujawahi kuwa infidilitee? :focus:

hahaaaaa RR mbona unanidadisi sana? nimesema mi sina uzoefu bana.....sijawahi kum-victimize mtu wala kuwa victimized
 
hahaaaaa RR mbona unanidadisi sana? nimesema mi sina uzoefu bana.....sijawahi kum-victimize mtu wala kuwa victimized
BHT...nafuta maswali yangu yote 😛eep:........tatizo majibu yako yanaleta curiosity...
 
hahaaaaa RR mbona unanidadisi sana? nimesema mi sina uzoefu bana.....sijawahi kum-victimize mtu wala kuwa victimized

Mbona hujaapa kwamba,.. never, will you ever try it... au unavuta pumzi ili kukabiliana na janga lolote litakalojitokeza? Ni vizuri kuwa na madirisha mengi yaliyowazi kuliko kuwa nalo moja halafu limefungwa kwa gril za nondo, tena 16mm!!

Ila Mungu atakulinda tu, jipe moyo na uwaache akina Teamo na ill-intention zao kutaka kuwatoa nyongo watu!:humble:
 
kumbe unaweza kufanya mapenzi na mtu usiempenda, kazi kweli kweli

Hayo ndiyo haswa wanayofanya wanaume wanapotaka kushusha pressure. Nyumbani anapata TLC (tenda, love and care 100%) ila kule mitaani ana-test varieties na kushusha pressure. Kwa wale tulioamua kufuata maelekezo ya Paroko, kazi yake ni kubwa sana tena sana!
 
namuona hommie next level anapitia pitia sredi hapa
najua atakuja na experience ya mwaka

.......Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!....Rule#7 After ''cheers'' shut up ur bowl!......(gorofani...)
 
mbona hujaapa kwamba,.. Never, will you ever try it... Au unavuta pumzi ili kukabiliana na janga lolote litakalojitokeza? Ni vizuri kuwa na madirisha mengi yaliyowazi kuliko kuwa nalo moja halafu limefungwa kwa gril za nondo, tena 16mm!!

Ila mungu atakulinda tu, jipe moyo na uwaache akina teamo na ill-intention zao kutaka kuwatoa nyongo watu!:humble:

naapa kwamba sitathubutu kamwe kufanya hii mambo mnaita infidelity
 
Hayo ndiyo haswa wanayofanya wanaume wanapotaka kushusha pressure. Nyumbani anapata TLC (tenda, love and care 100%) ila kule mitaani ana-test varieties na kushusha pressure. Kwa wale tulioamua kufuata maelekezo ya Paroko, kazi yake ni kubwa sana tena sana!

Duh wanaume mna kazi kubwa ya ziada hiyo kitu ingekuwa inaisha kama chaki mngekoma wenyewe :yo:
 
Men and Infidelity...nyie mna ona kama maji ya kunywa eeh? sibirini mpaka nanyie mmegewe wake zenu ndo mtajua maana yake...
 
Duh wanaume mna kazi kubwa ya ziada hiyo kitu ingekuwa inaisha kama chaki mngekoma wenyewe :yo:

FL1, nadhani tatizo ni tabia ya wanaume kwa jinsi walivyoumbwa. Ukiacha mke wa ndani, mwanamume anaweza kusimulia kila kitu kumhusu mhusika na kile alichofanya na mwanamke wa nje. Nasikia wanawake hawawezi hata siku moja kusimulia kitu cha namna hiyo.

Hata hivyo naomba tu nikueleze kuwa tupo baadhi wanaume tunaishi viapo vyetu lakini kama nilivyosema, kuna wakati uzalendo unakaribia kuyoyoma! Ni kumwomba tu Mungu kwani kwa mfano hii miaka kama 10 iliyopita, inakuwa na mapambano haswa. Ila mbaya zaidi ni kwamba wife anaweza kuwa hakuamini kiasi hicho ukizingatia matezo unayopata kwa kula kwa macho tu!
 
naapa kwamba sitathubutu kamwe kufanya hii mambo mnaita infidelity

Naamini karani (Teamo) anatunza kumbukumbu. Hii inabidi iende kwenye confidential file!

Kila la heri ingawa safari ni ndefu na ngumu kweli kweli!
 
Kwani mkiacha hiyo ''infidelity''... yenu mtashindwa kunywa ze lager
Sikonge nimekumbuka hili songi hapo chini kama unalo kwenye library yako pls naomba uwaburudishe mabinamu zangu hawa...Eliza wape kinywaji anayekunywa Valuu,tusker ya kuchemsha ,Thoda, nyama choma , bili kwangu

Penzi haligawanyiki..... Vijana Jazz kina mzee maneti enzi zetu zile
oooh nimeamini ee methali za wahenga ..vyote vinagawanyika aaah aaaah sio penzi jamani eeee.....
oooh mume wangu ulinitaka radhi eeeh ......
aaaah matokeo ya penzi ....

wengine wanasahau family zao peace an love
 
Men and Infidelity...nyie mna ona kama maji ya kunywa eeh? sibirini mpaka nanyie mmegewe wake zenu ndo mtajua maana yake...

Mbona unachukia tu kwa kuona vivuli? Ukiona mambo yenyewe itakuwaje?

Hakuna mtu hapa amesema mke wake yuko salama. Wengi wetu tunaongea kwa sababu kama wife anafanya basi mambo yenyewe yanatendeka bihind the scene ambako hatuoni wala kupata tetesi. Tunaaamini tuko salama, ni kwa kiasi gani hilo hakuna mwenye jibu!!
 
Naamini karani (Teamo) anatunza kumbukumbu. Hii inabidi iende kwenye confidential file!

Kila la heri ingawa safari ni ndefu na ngumu kweli kweli!

ni kweli kabisa.....hv nagundua Bala kafanya infidelity dah.............ngoja kwanza (i think I will get a heart attack)
 
Kwani mkiacha hiyo ''infidelity''... yenu mtashindwa kunywa ze lager
Sikonge nimekumbuka hili songi hapo chini kama unalo kwenye library yako pls naomba uwaburudishe mabinamu zangu hawa...Eliza wape kinywaji anayekunywa Valuu,tusker ya kuchemsha ,Thoda, nyama choma , bili kwangu

Penzi haligawanyiki..... Vijana Jazz kina mzee maneti enzi zetu zile
oooh nimeamini ee methali za wahenga ..vyote vinagawanyika aaah aaaah sio penzi jamani eeee.....
oooh mume wangu ulinitaka radhi eeeh ......
aaaah matokeo ya penzi ....

wengine wanasahau family zao peace an love

Uko sahihi FL1. Penzi haligawanyiki hata kwa dawa ila sex inagawanyika hata ukitaka mara 100. Hivi vitu ni tofauti kabisa! Tatizo la wakina dada/mama wengi ni kuukataa huu ukweli ingawa wanauishi!
 
Back
Top Bottom