Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

nyamayao sjui kwanini nimetamani nikusalimie. hali yako ?

klorokwini kaka yangu wacha tu, mie cjambo kabisa, cjui wewe! yaani nachoka na haya mambo kabisa, mpaka mtoto anafariki mtu upo kwenye starehe zako?...inauma sana.
 
mbaya sana hii.........!
dah
Sikiliza na hii:

Kuna jamaa hapa kazini alienda study tour Tanga. Huko akapata kimwana wakafika bei. Study tour ilipoisha huyu jamaa alikuwa kashanogewa, akaenda mpaka kwa wazazi wake akajitambulisha kiaina. Jamaa akarudi Dar, akaendelea kuwasiliana na kidemu chake. Wakakubaliana demu akaja Dar. Jamaa akampangia demu gesti maeneo ya karibu na kazini. (Ikumbukwe jamaa huyu anafanya kazi kampuni moja na mkewe, jamaa anafanya kazi za shifti, waifu office hours)

Jamaa likiingia naiti linafanya maarifa linachomoka linaenda gesti linapiga infidelity. Asubuhi waifu yuko job jamaa linaenda tena gesti linakula mzigo. Siku ikafika. Jamaa asubuhi linaenda gesti kupiga infidelity likakuta demu kalala kitandani wa baridiiii! Shughuli ikaanzia hapo.

Ila watu hawaamini mke wake hakujua, manake watu walipiga mchango kisirisiri (Ma-infidelitaz huwa hawaangushani, msisahau), watu wa kusindikiza maiti wakakodiwa na kulipwa maiti ikapelekwa Tanga kwa wawazi wake bila mke kujua! Jamaa lilicheza dili na bosi wake likapewa tripu ya uongo na ukweli kwenda Tanga, likasindikiza maiti likazika kwa heshima zooote.

Hakyanani infidelity we acha tu!!!
 
Hiyo ilikuwa ndogo. Sikiliza hii:

Umeenda kwa dasophy kudumisha mila (valeur inahusika hapo) Katika udumishaji mila usingizi ukakukamata. Kustuka kumekucha. UKIANGALIA SIMU KUNA MISSED CALLS ZAIDI YA 20 ZA WAIFU!! Kichwa kinakuuma unaamua kupiga mahesabu.

Unaenda kituo cha polisi unawahonga buku kumi wakuweke lupango. Unampigia infidelator mwenzako Teamo aje akutoe lupango. Kwa kuwa ushampa habari kamili, yeye amnapitia kwa wife anaongozana naye kituoni. Waifu anawahonga polisi ili wakutoe. safari ya kurudi home kwa mafanikio inatimia.

Kilichokufanya uswekwe ndani waifu ataambiwa mkiwa kwenye tabenako. Kesi kwisha..............:closed_2:

keleuuuuuuuuwi, ina maana juzi nilidanganywa eeee. manake niliambiwa eti aliwekwa lupango kwa kupita service road..... mama yangu mfeleeee kumbe ndo maaana na huyu rafikie akajidai kumleta home eeeeh. what d i do now😡😡😡 ngoja nikaombe ruhusa. nakwenda pale kituoni nkachek upya. khaaaa 😡😡😡😡😡 bora nimepitia hii kitu mejua njama yenyewe
 
Mungu wasemehe INFEDELATORS na INFEDELEES wote.Hawajui watendalo.Ikiwezekana uwaweke ganzi kwenye sehemu za miili yao zile wanategemea sana kucheat pindi wakiwa kwenywe maeneo ya kuinfideliti ili wasiwaumize wenzi wao na wakirudi kwao wapone.
Amen.
Hebu wasiliana na Askofu Charity...
 
Hii thread hata jogoo atawika bado linashika kasi. Utadhani ni moto wa kiangazi.

Hata hivyo somo lake ni kubwa. Ngono za nje .......ni bidhaa yenye thamani ya juu sana. Sorry sijui kwa nini nimesema hivyo....:lie:
 
Mungu wasemehe INFEDELATORS na INFEDELEES wote.Hawajui watendalo.Ikiwezekana uwaweke ganzi kwenye sehemu za miili yao zile wanategemea sana kucheat pindi wakiwa kwenywe maeneo ya kuinfideliti ili wasiwaumize wenzi wao na wakirudi kwao wapone.
Amen.
Mchumba unafanya nini huku? Ngoja nisepe, naona msikiti ushingia mbwa lol!!!
 
Hii ni TRUE but VERY SAD story! (Apology kama mhusika naye ni member):

A friend of mine alikuwa anafanya kazi na kampuni moja kubwa hapa Tanzania - alikuwa kitengo kinachohusika na uangalizi wa mali. Aliondoka asubuhi na kumdangnya mkewe kuwa atakuwa anasafiri kikazi kwenda Makao makuu ya hiyo kampuni (yeye alikuwa kwenye branch - mikoani). Kumbe jamaa alikuwa hajasafiri bali yupo mtaani anakula raha na small-house! Huku nyuma mtoto wao mchanga akazidiwa na KUFARIKI (RIP)

Familia ikachukua all the effort kutuulisha yaliyojiri - pale ofisini kila mtu alikuwa anafahamu kuwa jamaa hajasafiri bali yupo hapo mjini - tatizo ni kwamba alikuwa amezima simu pia. Wafanyakazi wenzake walificha ili kum-cover mwenzao - huku wakiendelea kumtafuta kwenye possible "guest houses" bila mafanikio.

Huyu jamaa alipotoka "mafichoni" alipitia ofisini - kila mtu akiogopa "ku-break news" - but at the end ikabidi wamwambie: remember hii ilikuwa ni siku ya pili jioni: Jamaa alizindikizwa hadi kwake na akakuta tayari mwili umeagwa watu wanaelekea MAKABURINI!

SO SAD - BUT - IT HAPPENED :

inasikitisha sana,tena sana
 
keleuuuuuuuuwi, ina maana juzi nilidanganywa eeee. manake niliambiwa eti aliwekwa lupango kwa kupita service road..... mama yangu mfeleeee kumbe ndo maaana na huyu rafikie akajidai kumleta home eeeeh. what d i do now😡😡😡 ngoja nikaombe ruhusa. nakwenda pale kituoni nkachek upya. khaaaa 😡😡😡😡😡 bora nimepitia hii kitu mejua njama yenyewe
Too late mama! Usijitafutie presha za bure! Yashapita salama hayo, mshukuru Mungu, chapa mwendo. Maisha ndivyo yalivyo!
 
Mungu wasemehe INFEDELATORS na INFEDELEES wote.Hawajui watendalo.Ikiwezekana uwaweke ganzi kwenye sehemu za miili yao zile wanategemea sana kucheat pindi wakiwa kwenywe maeneo ya kuinfideliti ili wasiwaumize wenzi wao na wakirudi kwao wapone.
Amen.

A certain little girl was so innocent to pray this way

"Dear God, this winter please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cell phone & shelter to the homeless men mum houses when dad is at work Amen." uuuuuuh
 
yaani kadiri mnavomimina maelezo yenu kujustify hii dhambi mnaathiri mioyo mingi sana jamani.....

ningekuwa mod ningelifunga hili lisred wapwaz n binamuz wakalime huko aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
 
Aisee kuna watu wengine ni balaa....
jamaa (RIP) alikua na mke wa ndoa ya kanisani (ndoa ilikua na kama ya miaka 3 hv) na mtoto mmoja...kaoa tena mara ya pili bomani.....
Ndoa zote zilifungiwa Dar, na sherehe za harusi ya pili zilikua banora!
Bi mkubwa alikua anakaa ukonga na bi mdogo (na alipata mapacha) alikua maeneo ya gongo la mboto nadhani....na alikua mfanyabiashara, akiaga kasafiri anaenda kwa bi mdogo.
Ishu iligundulika siku jamaa alipoanza kuumwa...ikawa bi mdogo alipokienda hospitali jamaa akamwongopea bi mkubwa kwamba yule ni ndugu yao....
To cut it short, the guy confessed to his first wife before he passed away (was 2008 if i can recall correctly).
 
Subiri ukue uyaone Mamushka!!
 
Too late mama! Usijitafutie presha za bure! Yashapita salama hayo, mshukuru Mungu, chapa mwendo. Maisha ndivyo yalivyo!
yu mean nisijaribu kufuatilia nijue ukweli?????? oooh maimai presha inashuka.......
:sick::sick::sick::sick::sick::sick:
 
Sikiliza na hii:

Kuna jamaa hapa kazini alienda study tour Tanga. Huko akapata kimwana wakafika bei. Study tour ilipoisha huyu jamaa alikuwa kashanogewa, akaenda mpaka kwa wazazi wake akajitambulisha kiaina. Jamaa akarudi Dar, akaendelea kuwasiliana na kidemu chake. Wakakubaliana demu akaja Dar. Jamaa akampangia demu gesti maeneo ya karibu na kazini. (Ikumbukwe jamaa huyu anafanya kazi kampuni moja na mkewe, jamaa anafanya kazi za shifti, waifu office hours)

Jamaa likiingia naiti linafanya maarifa linachomoka linaenda gesti linapiga infidelity. Asubuhi waifu yuko job jamaa linaenda tena gesti linakula mzigo. Siku ikafika. Jamaa asubuhi linaenda gesti kupiga infidelity likakuta demu kalala kitandani wa baridiiii! Shughuli ikaanzia hapo.

Ila watu hawaamini mke wake hakujua, manake watu walipiga mchango kisirisiri (Ma-infidelitaz huwa hawaangushani, msisahau), watu wa kusindikiza maiti wakakodiwa na kulipwa maiti ikapelekwa Tanga kwa wawazi wake bila mke kujua! Jamaa lilicheza dili na bosi wake likapewa tripu ya uongo na ukweli kwenda Tanga, likasindikiza maiti likazika kwa heshima zooote.

Hakyanani infidelity we acha tu!!!

mhh na mie leo nimemwandaa mtu anaenda kikazi arusha...cjui ndio hivo tena.
 
Aisee kuna watu wengine ni balaa....
jamaa (RIP) alikua na mke wa ndoa ya kanisani (ndoa ilikua na kama ya miaka 3 hv) na mtoto mmoja...kaoa tena mara ya pili bomani.....
Ndoa zote zilifungiwa Dar, na sherehe za harusi ya pili zilikua banora!
Bi mkubwa alikua anakaa ukonga na bi mdogo (na alipata mapacha) alikua maeneo ya gongo la mboto nadhani....na alikua mfanyabiashara, akiaga kasafiri anaenda kwa bi mdogo.
Ishu iligundulika siku jamaa alipoanza kuumwa...ikawa bi mdogo alipokienda hospitali jamaa akamwongopea bi mkubwa kwamba yule ni ndugu yao....
To cut it short, the guy confessed to his first wife before he passed away (was 2008 if i can recall correctly).

dunia hii ina majaribu ya kutosha.
 
keleuuuuuuuuwi, ina maana juzi nilidanganywa eeee. manake niliambiwa eti aliwekwa lupango kwa kupita service road..... mama yangu mfeleeee kumbe ndo maaana na huyu rafikie akajidai kumleta home eeeeh. what d i do now😡😡😡 ngoja nikaombe ruhusa. nakwenda pale kituoni nkachek upya. khaaaa 😡😡😡😡😡 bora nimepitia hii kitu mejua njama yenyewe

kisasangwe we! unataka pressure? nenda huko police post ukaujue ukweli alafu next ninn?
 
Hivi kumbe mwanzo mlikuwa mnaongea habari za juu juu tu mara viatu mara shati nje ndani kumbe kuna makubwa na mazito kama hayo ..
Haya endeleeni... wanaume jamani wanaume ...mie FL1 ngoja nikae pembeni tu niangalie pweza atatabiri nini tena.
 
Back
Top Bottom