Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

Waooh!
Kila la Kheri.
Dini ni sehemu au Chuo cha kujifunza tabia njema ili kudumisha mahusiano Bora baina ya mtu na Mungu wake, na mahusiano baina ya mtu na watu pamoja na mazingira yake.

Uislam na Ukristo hauna tofauti yoyote isipokuwa, madhehebu ndio huleta utofauti huo.

Tumaini pekee la maisha baada ya kifo Wakristo wanalo moja Kwa moja kupitia Kwa Kristo Yesu aliyefufuka katika watu.
Huku dini zingine zilizobaki zikibaki kimya katika Jambo hilo

Uislam unaelezea malaika mtoa roho ambaye waarabu walimuita Izrael(kutokana na uhasama Wao na Wayahudi)
Lakini uislam haujaeleza atakayerejesha roho za wanadamu,
Wakati Ukristo unamueleza Kristo Yesu Kama mhusika Mkuu katika tukio la kiyama.
Acha
Uongo wa kiendawazimu wewe,ni wapi uislam umemtaja malaika Mtoa roho kuwa Israel,? Wakati mwingine ni vuzuri kuficha upumbavu wako!
 
mtoa mada unatakiwa utambue biblia imeeandikwa ili akili yako iweze kutambua kuna vitu vingne vimeandikwa Kuhusu Mungu kwa level za kikawaida kabsa kuhusianisha na maisha ya mwanadamu ili uelewe tu , ila ubaya upo ili utambue uzuri , kifo kipo ili uhai uwe na dhamani, njaa ipo ili ufurahie shibe , huzuri ipo ili uijue furaha ni ipi , kila kitu kipo na pacha ake ili kubance life , ukisikia Mungu ni wa kiasi ni wakubance mambo , hakuna kiasi hakuna maisha , kila kitu kina pande mbili wewe upo katikati ili kuleta kiasi, neno Mungu tafsiri yake ni nguvu kuu yenye inteligencia kuu iliyoyafanya haya maumbile yote yanayoonekana na yasio onekana kwa frequence tofauti tofauti , ambayo nguvu hyo ipo ndani yako pia, kwa hyo Mungu yupo ndani yako mkuu unapotuuliza ni kwamba tu umeshindwa kusikiliza sauti ya upole kabsa ya Mungu iliyopo ndani yako , hata haya maswali ungeyapatia majibu .
 
Kama uongo ulioko kwenye ufunuo wa yohana, ati kwamba alikuwa anatabiri yajayo, utabiri ni ushirikina tu
 
Huwezi nipangia jinsi ya kuishi dini umezaliwa umezikuta na utakufa utaziacha hiko kitabu biblia kinamiaka almost 7000 na bado wako wanaokiamin

Kama huamin biblia live your life huwez fanya watu wasiamin biblia kwa hoja zako dhaifu na za kiinga
Nawe Pia Usimlazimishe kuamini unachoamini wewe.Makasiriko ya Nini
 
Quran na Injili havina asili moja Ila mmoja ndio kamuibia mwenzake. Jaribu kuelewa.

Quran imeandikwa na waarabu,
Mtume muarabu,
mungu WA kiarabu,
Siku ya Ibada ya kiarabu,

Walichofanya ni kuiba Visa vya kiyahudi na sio vinaasili moja.
Ndio maana 99% ya manabii na mitume ni mayahudi hushangai huyo muarabu katokea wapi?
Fikiria kwa akili hata za Darasa la tatu.

Mkuu ROBERT HERIEL nimesoma nondo zako ni hatari sana. Naomba ukiweza anzisha uzi kuhusu Mungu wa waislamu Allah kutumia wingi kwenye kujieleza.
 
Kwanza jua kuwa Hakuna kitabu kilicho chezewa sana! na kugeuzwa! geuzwa Duniani km kitabu cha Biblia!.......walijaribu sana kukifuta kisionekane Duniani lkn ikashindikana mara kibao! ...

Wazungu wakaamua kufanya kile wao wanajua kuwa ni sahihi!....wakafuta futa kabisaa baadhi ya vitabu, wakabadili na kukifanya mali yao Binafsi! Mweusi akapigwa marufuku kukisoma! na nakala zikakaliwa Vatican hadi leo!

so Mleta mada ukija na neno la Mungu kuhusu Biblia kuwa makini na sisi (wajuaji)tunao jua! kuwa tunajua! haya kuwa je! wewe unaiongelea Biblia gani?? kati ya hizo zilizo chakachuliwa??

Matukio aliyo yafanya mungu gani, ktk Biblia tuelezee kinagaubaga unamuongelea mungu gani?? make hata kwenye Biblia kuna miungu wengi sana wametajwa!! hao sasa wana biblia zao pia!...na watu wao wanao waabudu!

Mfano 1; mungu wa wa-Misri aliwaweka wayahudi taifa teule utumwani miaka zaidi ya mia4!. hayo yalikuwa ni mafaniko makubwa kwa wamisri...

hata muda ulipo wadia wa wayahudi (walipoaga) kurudi kwao uyahudini! ! viongozi wa Misri hawakukubali kirahisi! walicho fanywa wale wamisri kila mtu anakijua.....

mfano wa pili ni mungu wa wafilist alimtoboa Macho Samsoni!! so kwa wafilist yalikuwa ni mafanikio makubwa sana kwao! kusaidiwa na mungu wao kumuweka mikononi adui yao mkubwa!

Lkn pia Mungu huyo huyo!..... aliwahi sema kwamba Imnai si Mali ya kila mtu! utasomaaaa hutoielewa sasa km huilewi Biblia ni kosa la nani?? na huyo mungu wako??
 
Mungu angemtupa Shetani hata Mimi nisingempenda.
Uwepo wa Shetani/nguvu hasi kunafanya maisha yawe na maana, yaani unakuwa na options nyingi za kuchagua.
Halafu yananoga sana! ukijua kumacharaza shetani na wafuasi wake mboko!! hasa lile tako lake la kulia la shetani sijui lina nini?? yaani kila nikilichapa linatoa sauti myeeee!
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.
Hoja zako ni nyepesi sana na tatizo lako hujaisoma Biblia vizuri. Umeisoma kijuu juu na ukakurupuka na viswali vyako.

Naweza kukupatia majibu yote ya maswali yako, lakini kwakuwa nimegundua wewe ni mmoja wa "wapumbavu" basi sitakupatia majibu hayo maana hayatakusaidia.

Kuna mahali Biblia imeandika kuwa; "hata ukimtwanga mpumbavu kwenye kinu pamoja na ngano bado upumbavu wake hautamtoka".
 
ni yake YEYE KAZI YA KUWAFUFUA WOTE TOKA WA MWANZO HADI WA MWISHO....

Je unashangaa kazi ya kufufua na haushangai kazi
Ila Allah atapata kazi watu wote ma billions kuwapiga na pande la nyama ya ng'ombe 😂😂😂 Ili wafufuke

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu.
 
I remember the first day I touched the Book [MSAHAFU]; as a Christian I was a bit terrified of stories we used to be told kuhusu dini ya majini, ukishika msahahu utapagawa mapepo na bahati mbaya au nzuri nilipata nafasi ya kusoma sura kadhaa [nilikuwa nasoma tafasiri yake]LAKINI ILIYONITOA MACHOZI NI SURATUL YUSUF.... the arrangement of the scenes, clarity, humbleness na appealing devine flavour....

Nakupa challenge CHUKUA BIBILIA SOMA KUANZIA KITABU CHA MWANZO MPAKA MWISHO na BAADA YA HAPO CHUKUA MSAHAFU WA TAFASIRI ANZA MWANZO MPAKA MWISHO... halafu usikilize moyo wako...
Koran majini Yana surah nzima sio kitu cha kuficha na dini yao mapepo yamesema ni uislam

  • Ulipo kuwa Mkristo companion au ulinzi wako ulikuwa malaika (Angels)
    • Jehovah anasema
      • Psalm 91:11” For He will give His angels charge concerning you, to guard you in all your ways.
  • Ulipo amia mara moja companion yako inabadilika inakuwa mashetani (devils)
    • Allah anasema
      • “Each one of you has a devil-companion from the jinn over him.” saḥīḥ Muslim 2814
  • Marafiki kama ulikuwa nao wakristo Allah anakwambia usiwafanye marafiki tena
    • Koran 5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
  • Kwa sasa ndugu zako Mpaka baba yako kama bado ni wakristo Allah anakwambia husifanye urafiki nao na ukifanya urafiki nao umekuwa kafiri
    • Koran 9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani...
  • Na mwisho wa siku hutaweza kutoka humo kwani hukumu ya anae jitoa uislamu ni shingo yake na jambia
    • Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
 
Dah!! Karne ya 21 unaamini Qur'an imecopy?? Mbona basi hicho ambacho unadai ndiyo asili kina story zinachanganya na kugongana?

Inakuwaje kitabu cha Mungu upande moja kinamzungumzia Mtume kama kiongozi na mwema upande wa pili anakuwa mwovu?

Angalia kwenye BIBILIA NUHU tunaelezwa baadaye akawa MLEVI [ALCOHOLIC], LUTI AKAZINI NA WANAWE WA KIKE, DAUDI AKAZINI NA MKE WA KAMANDA WAKE NA KUMUUA MWENYE MKE!!!

MBONA haya huyakuti kwenye QUR'AN???? Mifano ni michache tu hiyo!!!

LAKINI SISHANGAI MAANA HATA MOLA MLEZI MWENYEWE AMESEMA "NI WACHACHE KATIKA WATU NI WENYE KUZINGATIA"

Ni vitabu VIWILI TOFAUTI na VIKO MBALI KWA YALIYOMO KAMA MBINGU NA ARDHI!!!!

Shida hausomi!!!! SOMA HALAFU UTOE HOJA!!!

Leo hii kwenye bibilia tunasoma maneno ya watu waliokuja muda mrefu baada ya YESU na kuyafanya maneno ya Mungu!!!!! Very contra to the HOLY QUR'AN
Definition ya dhambi Kati ya Jehovah na Allah ni tofauti kabisa

Biblia imeweka wazi ao binadamu walifanya dhambi na unaona wazi Jehovah anachukizwa na dhambi zao na unasoma kabisa wakitubu

Koran Allah anashusha Aya kuruhusu dhambi
-Muhammad kaoa katoto Allah kimya
  • Muhammad kachukua mke wa mtoto wake , Allah kashusha Aya kumsifia na akasema amemruhusu
  • Muhammad Kabaka house girl maria the copt akafumaniwa na mke wake hafsa , hafsa na Aisha wakaungana kumletea noma Allah akashusha Aya akasema wakiendelea kumletea noma anashuka mwenyewe na Malaika wote kupigana na hafsa na Aisha
  • Muhammad kaua watu nane Kwa kuwakata mikono na miguu na kiwatoboa macho Kwa kutumia misumari Allah akashusha Aya 5:33 kuruhusu mauaji yakukata mikono na miguu
  • Muhammad chupi ilipotea wafuasi wake wakawa wanasema kachukua , Allah faster kashusha Aya kusema hajachukua ,ila mpaka Leo Allah hajataja Alie chukua

Na mengine mengi ,
Allah -anasifia dhambi na anatoa loophole kwenye dhambi mfano kula nguruwe Allah hajui ni dhambi au sio dhambi maana kasema ukiwa na njaa kula

Jehovah - anachukizwa na dhambi na ameweka wazi kabisa
 
Swali lako la kwanza hata mimi huwa najiuliza sana...

Wakati mwingine nilikuja kufahamu kuwa Mungu alijua uasi wote wa shetani na wanadamu na aliruhusu utokee kwa makusud yake na sababu yake...
Mnakosea sana...mnapojaribu kumpa Mungu sifa (characteristcs) za kibinadamu na Ulimwengu.Mungu hana dimension ya time...Mungu hana jana, leo, kesho etc...Mungu ni dimensionless...

Unaposema mfano ..Mungu alijua uasi n.k..Maandiko yanasema.."tangu hujatungwa tumboni mwa mama yako, nilikujua"....Mungu.hayuko kwenye hiyo dimension ya alijua, akajua, atajua, angejua n.k..Mungu ni all that dimension...hana definition ya time...ni umilele..

TUKUBALI TU KUNA BAADHI YA MAMBO YAKO NJE YA UWEZO WA KIBINADAMU....Akili zetu zina kikomo cha kufikiri, utambuzi na kujua baadhi ya mambo
 
Hiyo inaitwa "Royal We" amboyo ni respect and glorification na sii plural... unaweza usielewe ila ukiamua kujifunza utajua
Usiwe muongo au umeamia dini ambayo bado huijui
Soma

Koran ( 21:17) " Had We intended to take a pastime (i.e. a wife or a son, etc.), We could surely have taken it from Us.....
Kama Allah sio Hermaphrodite (Intersex) hiyo US ni kina nani?
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.
Umeanza vizuri kabisa,Mungu ni Alpha na Omega-Mwanzo na Mwisho..
Pili kwenye kipengele cha kwanza kuwa kwa nini Mungu alimuumba shetani wakati alijua kabisa ubaya wake etc....

Kwanza kabisa.umewaza Mungu alivyo kwa hulka ya kibinadamu....bifu etc....Pili unapaswa kujua Mungu hana league na Shetani....(Kitabu cha Ayubu...unaona Shetani anaomba ruhusa kwa Mungu kwenda kumjaribu Ayubu..Mungu anamruhusu lkn kwa masharti...).hivyo ujue basi Mungu hashindani hata na shetani hawako katika level hiyo...pia Unapaswa ujue kwa Makini kuhusu shetani ni nini, ni nani??...Usitafsiri biblia kama hadithi....usichukue msitari jinsi ulivyo wewe ukauvisha ubinadamu.....Kuna msemo wa Kiswahili.."Shetani wa mtu ni mtu mwenyewe"...Mungu ni Roho....utaratibu wa namna ya kuishi hata usiposikia mtu anaongea au kwenda kanisani...unaandikwa ndani ya kila mtu, ndo maana kuna SAUTI iliyondani..ya majuto..ukifanya ujinga, na pia ya kukukanya...ndo maana unaskia mtu anasita kufanya....

Hizo nguvu mbili ndani mwako ambazo pia zinasababishwa na free-will...ndo kuna Umungu na Ushetani humo....As long as upo na una free will ya kuchagua..roho nyingine ipo..inapush..na ndo shetani mwenyewe....
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.
Nasubir ya Qur-an.Ili twende sawa
 
Swali lako la kwanza hata mimi huwa najiuliza sana...

Wakati mwingine nilikuja kufahamu kuwa Mungu alijua uasi wote wa shetani na wanadamu na aliruhusu utokee kwa makusud yake na sababu yake...
According to Qur-an. Mungu ni mjuzi wa kila kitu anaijua point yako ya kwanza mpka ya mwisho. Mung amewaumba wanadam na majin ili wamuabudu kinyume chake wamuasi ndo maana kuna pepo na moto.Kilichopo ndan yetu binaadam na mashetani ni UHURU wa kuabud au kuasi tofaut na malaika
 
Matukio haya yanaonyesha kwamba dini imejaa uongo.

Tuanze na Biblia.
1. Biblia inasema mungu ni alpha na Omega, mwanzo na mwisho, ni yeye aliepo na ataendelea kuwepo. Kwa maana kwamba mungu ndio chanzo cha vitu vyote, hakuna kitu kilianza bila yeye. Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Tukiamini hivyo ni sawa, lakini tukienda mbele zaidi kutafakari, kama mungu anajua vyote, je alijua kama shetani atakuja kumuasi? Kama alijua ni kwa nini bado alimuumba?

2. Kama mungu aliamua tu kumuumba shetani pamoja na kujua kua atakuja kuasi, alikua na maana gani? Biblia inasema yeye ni mkamilifu, hakuna kitu kidhaifu/kibovu kinatoka kwake, sasa unajiuliza shetani alietoka kwake ni mbovu ama mzima ama mkamilifu?

Hapo jibu ni moja tu, mungu hakujua kama shetani atakuja kumuasi hivyo mungu hajui kila kitu.

3. Baada ya shetani kuasi na malaika zake, kwa maelezo ya biblia shetani alitupwa Duniani. Kwa maana kwamba Dunia haikua na kiumbe ila shetani alitupwa huku kukiwa ni empty.

Baadae mungu akamuumba binadamu na kumuweka Duniani. Kwa maana kwamba Adam amekuja Duniani tayari shetani yupo muda mrefu anakula maisha. So Adam kamkuta shetani Duniani.

4. Baada ya Adam kuletwa Duniani, hakuwahi kuambiwa kwamba kuna kiumbe mwingine anaeishi Duniani tofauti na yeye, so hakupewa tahadhari yoyote. Kwa maana nyingine aliachwa kua vulnerable kwa shetani kumshambulia. Swali, kwa nini mungu hakumuonya Adam kuhusu uwepo wa shetani Duniani? Kwa nini alikaa kimia, lengo lake ilikua nini?. Mbaya zaidi mungu hakumuonya shetani asimrubuni adam, so akaacha loop hole ya shetani kujifanyia anayoyataka, baada ya shetani kufanikiwa, lawama ni kwa Adam.

Tu-assume alipewa maelekezo kidogo, lakini alipewa yeye, hakuna maonyo aliyopewa Eva mke wa Adam ambae shetani alimtumia kama kichochoro, je hawa makosa yao ni nini?

Jibu: Mungu aliwaingiza kwenye mtego maksudi, kuanguka kwa adam ilikua ni maksudi ya mungu kutafta justification ya kumlaumu Adam.

5. Kati ya binadamu na malaika mungu anampenda nani zaidi. Biblia inasema shetani alikua malaika mkuu, alipoasi alipata baadhi ya malaika waliomuunga mkono. Maelezo mazuri kabisa.

Biblia inaenda mbali na kusema baada ya shetani na malaika zake kuasi mungu aliwatupa Duniani watatange take. Tunakubali sawa kabisa.

Swali, kati ya binadamu na malaika ni nani anamjua vizuri shetani? Jibu ni malaika kwa sababu wameumbwa pamoja, wameishi pamoja hivyo wanajuana vizuri.

Swali lingine, kwa akili ya kawaida, ni nani alipaswa kuletwa Duniani kupambana na shetani? Jibu, alipaswa iwe ni malaika kwa sababu wanamjua vizuri zaidi shetani kuliko binadamu. Kwa maana kwamba ingekua rahisi sana kwao kumkataa shetani mapema na akakosa wafuasi kwa sababu wanamjua.

Masikitiko ni kwamba, mungu hakutaka kuwaleta viumbe wake anaowapenda Duniani akaamua kuumba viumbe wengine ambao hawajui lolote na kuja kuwapambanisha na shetani ambae ana superiority knowledge kuliko wao.

Ni sawa na wewe una rungu unaenda kupigana na mtu ana mizinga, drones, fighter jets, na kila kitu halafu utegemee utashinda. Hiki ndio mungu alichoamua kuwafanyia binadamu.

B. Nitakuja kuelezea upande wa quran(huku ndio madudu yalikojaa). Mkitaka na vifungu nitaweka.
Hakuna uongo kwenye biblia, wewe ndiye huyaelewi maandiko ya kwenye biblia.
 
Kwanza badilisha sehemu zote ulizoandika mungu badala ya Mungu, otherwise uzi wako hautokua na maana yotoye. Na kama ni kweli unayeemanisha ni mungu na sio Mungu basi ni kweli anazo hizo weaknesses zote unazoainisha
 
Back
Top Bottom