Matukio yatakayokumbukwa JF miaka 50 ijayo

Mtaje jina tumjue,
[emoji2960]

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mkuu, akija kunisimanga uje unitetee
Verified id : Kanungira karim
Id ya uchochoroni : Mjukuu wa chifu kama sikosei.
Alitikisa sana kule jukwaa la pichaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu, akija kunisimanga uje unitetee
Verified id : Kanungira karim
Id ya uchochoroni : Mjukuu wa chifu kama sikosei.
Alitikisa sana kule jukwaa la picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tobaaaaa, ndio nimemkumbuka huyu manzi alijiiita Mjukuu wa Chifu kumbe ni Mr Kanungira Karim hahahaha watu wana vituko sana.

Wakikusimanga wewe nitag tu, [emoji378] moja wanasambaratika.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Tobaaaaa, ndio nimemkumbuka huyu manzi alijiiita Mjukuu wa Chifu kumbe ni Mr Kanungira Karim hahahaha watu wana vituko sana.

Wakikusimanga wewe nitag tu, [emoji378] moja wanasambaratika.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Hatari sana mkuu, ukiwa na Id mbili au zaidi unatakiwa kuwa makini na mstaarabu. Ukichafua hali ya hewa au ukijaribu kucheza na watu mods wanaziunga id chap unabaki unafurahi na roho yako.
 
Mmesahau ya yule dada maarufu mwenye kipini puani...Nilibahatika kuona picha yake ahhaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaojichetuaga humu jf huwa nawacheki tu. Japo sikubahatika kuliona hilo saga ila kwa aina ya maisha aliyokuwa anayaishi yule dada nilikuwa nahisi ni lazima ipo siku itakuja kumgharimu.
Siku hizi haonekani kabisa ila nadhani tutakuwa naye katika new Id.
 
Nadhani ni Pascal Mayalla
 
Nakumbuka ile battle ya mzee wa kuachia ushuzi na kujisifia... bwana CCNP ENGINEER akiwa na humble africa...

Ile vita ilikuwa hatari sana..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ile battle ya Humble African na CCNP ENGINEER ilikuwa Vita Moja mbaya saana kwa engineer alitandikwa mwanzo mwisho Hadi akaisusa ID yake Hadi leo imebaki gofu.
Ile Vita ilimuacha na majeraha makubwa saana Engineer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile battle ya Humble African na CCNP ENGINEER ilikuwa Vita Moja mbaya saana kwa engineer alitandikwa mwanzo mwisho Hadi akaisusa ID yake Hadi leo imebaki gofu.
Ile Vita ilimuacha na majeraha makubwa saana Engineer.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya hapo alikuwa na mbwembwe sana, kila siku kutamba na div. 1 zake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabla ya hapo alikuwa na mbwembwe sana, kila siku kutamba na div. 1 zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binafsi hata Mimi alikuwa akinikera Sana yule bwana na tabia yake ya kujiona special na kudharau wengine hivyo kichapo chake toka kwa humble African kilinikosha saana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi hata Mimi alikuwa akinikera Sana yule bwana na tabia yake ya kujiona special na kudharau wengine hivyo kichapo chake toka kwa humble African kilinikosha saana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mjuaji na mjivuni sana kuna gharama kubwa hasa unapokuwa kwenye jamii yenye watu wa aina tofaiti kama jf. Unaweza kujiona wewe ni wewe kisa tu hapo kwenye kitongoji chenu wanakukubali kuwa wewe ndiye zaidi ya wao wote na ukadhani kuwa dunia nzima itakutambua hivyo, hell no.
Tiba bora ni kuwa mstaarabu na kuzuia makwazo yasiyo na msingi.
 
Mkuu kama unaukumbuka huo Uzi hebu upandishe hapa wengine ulitupita,huenda kuna cha kujifunza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuja pm peke yake? Hao watu wa uswiss wanazingua sana.
Wanahisi labda tutawashobokea.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…